Uchaguzi 2020 Dodoma: Anthony Mavunde azomewa na wananchi

Uchaguzi 2020 Dodoma: Anthony Mavunde azomewa na wananchi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Spana Spana Spana[emoji373][emoji374][emoji374][emoji373]

Tuletee original video clip you fool
Akuletee gheto kwa polepole? Au akuletee gheto kwa Cyprian Musiba?
 
Mpaka waelewe tena kwenye majimbo yao ndo kiwake mpaka wanye
 
Habari wakuu!

Jana, Oct 30 2020 Mbunge aliyeshinda jimbo la Dodoma mjini kwa tiketi ya CCM, ndugu Anthony Mavunde ameshindwa kuongea na wananchi wa Dodoma mjini baada ya kundi kubwa kuanza kumzomea.

Kitu hicho kilimpelekea kuingia kwenye gari na kuondoka kwa aibu kubwa.

Wananchi hao walisikika wakisema " WE NENDA, HATUKUTAKI , HATUJAKUCHAGUA, PANDA GARI UENDE ZAKO"

Hali iliyozua maswali mengi mtandaoni kwamba inakuwaje kuzomewa na kundi kubwa vile tena kipindi alipoenda kutoa shukrani kuchaguliwa?

Hii inaashiria nini tuendako? Na Dodoma si ngome ya CCM?

Je, wananchi wanatuma ujumbe gani kwa hili tukio?

Kusema wenye nchi ni wananchi?

Nisiwachoshe kwa maswali tazama mkasa mzima hapo chini.

View attachment 1616367
Kwahiyo unamaanisha Mavunde kavunda?
 
Eti CCM bila Aibu bila kumuogopa mungu wapo wanaosherekea eti ushindi, hapo ndipo utajua makao makuu ya shetani Duniani ni CCM
 
Mkuu unajitaid kutuaminisha ni fake clip...
Nguvu hii ungetumia kutuaminisha kuwa jamaa meko hajiongezei miaka...
kidogo ingemake sense...
Tuko Dodoma tunapokea Hati za kuchaguliwa Rais na Makamo wa Rais wa JMT
 
Habari wakuu!

Jana, Oct 30 2020 Mbunge aliyeshinda jimbo la Dodoma mjini kwa tiketi ya CCM, ndugu Anthony Mavunde ameshindwa kuongea na wananchi wa Dodoma mjini baada ya kundi kubwa kuanza kumzomea.

Kitu hicho kilimpelekea kuingia kwenye gari na kuondoka kwa aibu kubwa.

Wananchi hao walisikika wakisema " WE NENDA, HATUKUTAKI , HATUJAKUCHAGUA, PANDA GARI UENDE ZAKO"

Hali iliyozua maswali mengi mtandaoni kwamba inakuwaje kuzomewa na kundi kubwa vile tena kipindi alipoenda kutoa shukrani kuchaguliwa?

Hii inaashiria nini tuendako? Na Dodoma si ngome ya CCM?

Je, wananchi wanatuma ujumbe gani kwa hili tukio?

Kusema wenye nchi ni wananchi?

Nisiwachoshe kwa maswali tazama mkasa mzima hapo chini.

View attachment 1616367
Chandimu mtakufa na kihoro! Yaani na kesho barabara zitakavyokuwa tupu, lazima uharo uwatoke!
 
wagogo wameonesha njia. tufanye hivyo kila jimbo.
Sehemu nyingi wanamlilia mungu kimya kimya ngoja utashuhudia kuwa na Bunge la hovyo kuliko bunge lolote Duniani, litakuwa bunge la ndiyoo, ndiyooo, utoro kuchukua posho kusepa, kupitisha miswada na kutunga Sheria za hovyo
 
Eti CCM bila Aibu bila kumuogopa mungu wapo wanaosherekea eti ushindi, hapo ndipo utajua makao makuu ya shetani Duniani ni CCM
Hata SADC nao wanasema uchaguzi ulikuwa Huru na Haki. Sasa tunasubiri wakina Robert Amsterdam sijui wanasema nini tujuze minyoo
 
Back
Top Bottom