Torquemada
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 231
- 260
- Thread starter
-
- #81
Analipwa buku saba huyo kupinga hata jinsia yake ilihali apokee helaAcha kuwa Mbuni kuingiza kichwa kwenye mchanga. Siafiki maandamano, kuzomewa au fujo ya aina yoyote, na umbuni pia siuafiki. Huyo kazomewa.
Akuletee gheto kwa polepole? Au akuletee gheto kwa Cyprian Musiba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Spana Spana Spana[emoji373][emoji374][emoji374][emoji373]
Tuletee original video clip you fool
Kwanini msiwe wabunifu hata kukopy kwa nchi jirani mf. Kenya?
[emoji23][emoji23][emoji23]Akuletee gheto kwa polepole? au akuletee gheto kwa cyprian Musiba?
Kwahiyo unamaanisha Mavunde kavunda?Habari wakuu!
Jana, Oct 30 2020 Mbunge aliyeshinda jimbo la Dodoma mjini kwa tiketi ya CCM, ndugu Anthony Mavunde ameshindwa kuongea na wananchi wa Dodoma mjini baada ya kundi kubwa kuanza kumzomea.
Kitu hicho kilimpelekea kuingia kwenye gari na kuondoka kwa aibu kubwa.
Wananchi hao walisikika wakisema " WE NENDA, HATUKUTAKI , HATUJAKUCHAGUA, PANDA GARI UENDE ZAKO"
Hali iliyozua maswali mengi mtandaoni kwamba inakuwaje kuzomewa na kundi kubwa vile tena kipindi alipoenda kutoa shukrani kuchaguliwa?
Hii inaashiria nini tuendako? Na Dodoma si ngome ya CCM?
Je, wananchi wanatuma ujumbe gani kwa hili tukio?
Kusema wenye nchi ni wananchi?
Nisiwachoshe kwa maswali tazama mkasa mzima hapo chini.
View attachment 1616367
Anasema ni fake bila kuonyesha kwann ni fake, ilimradi tu abishe. Au ni yeye ukute alizomewa.Analipwa buku saba huyo kupinga hata jinsia yake ilihali apokee hela
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo unamaanisha Mavunde kavunda?
Tuko Dodoma tunapokea Hati za kuchaguliwa Rais na Makamo wa Rais wa JMTMkuu unajitaid kutuaminisha ni fake clip...
Nguvu hii ungetumia kutuaminisha kuwa jamaa meko hajiongezei miaka...
kidogo ingemake sense...
Chandimu mtakufa na kihoro! Yaani na kesho barabara zitakavyokuwa tupu, lazima uharo uwatoke!Habari wakuu!
Jana, Oct 30 2020 Mbunge aliyeshinda jimbo la Dodoma mjini kwa tiketi ya CCM, ndugu Anthony Mavunde ameshindwa kuongea na wananchi wa Dodoma mjini baada ya kundi kubwa kuanza kumzomea.
Kitu hicho kilimpelekea kuingia kwenye gari na kuondoka kwa aibu kubwa.
Wananchi hao walisikika wakisema " WE NENDA, HATUKUTAKI , HATUJAKUCHAGUA, PANDA GARI UENDE ZAKO"
Hali iliyozua maswali mengi mtandaoni kwamba inakuwaje kuzomewa na kundi kubwa vile tena kipindi alipoenda kutoa shukrani kuchaguliwa?
Hii inaashiria nini tuendako? Na Dodoma si ngome ya CCM?
Je, wananchi wanatuma ujumbe gani kwa hili tukio?
Kusema wenye nchi ni wananchi?
Nisiwachoshe kwa maswali tazama mkasa mzima hapo chini.
View attachment 1616367
Ukweli anaujua mkuu!Anasema ni fake bila kuonyesha kwann ni fake, ilimradi tu abishe. Au ni yeye ukute alizomewa.
Sema upo unalamba viatu vya wakubwa.Tuko Dodoma tunapokea Hati za kuchaguliwa Rais na Makamo wa Rais wa JMT
Sehemu nyingi wanamlilia mungu kimya kimya ngoja utashuhudia kuwa na Bunge la hovyo kuliko bunge lolote Duniani, litakuwa bunge la ndiyoo, ndiyooo, utoro kuchukua posho kusepa, kupitisha miswada na kutunga Sheria za hovyowagogo wameonesha njia. tufanye hivyo kila jimbo.
Alibadiri zinatembea mno hasa pemba na ZanzibarNa apo ni Dodoma hawa wengine watakuwa na hali gani
Hiloooo likada jinga la CCM![emoji23][emoji23]Chandimu mtakufa na kihoro! Yaani na kesho barabara zitakavyokuwa tupu, lazima uharo uwatoke!
Hata SADC nao wanasema uchaguzi ulikuwa Huru na Haki. Sasa tunasubiri wakina Robert Amsterdam sijui wanasema nini tujuze minyooEti CCM bila Aibu bila kumuogopa mungu wapo wanaosherekea eti ushindi, hapo ndipo utajua makao makuu ya shetani Duniani ni CCM