Uchaguzi 2020 Dodoma: Anthony Mavunde azomewa na wananchi

Watakwambia wananchi wamewachoka UPINZANI.
Sasa ndo muibe kura?.
Mngeacha wananchi wawahukumu wenyewe sio nyie NEC na CCM
 
Wewe una akili hata kidogo za kukusaidia kujitawaza bila kushika uchafu? Sisi wenyewe tulikuwepo kwenye vituo halafu unatwambia eti waangalizi. Walikuwa wanaangalia kum la mamko?
Haya na SADC nao wamesema uchaguzi ulikuwa Huru na Haki. Poleni
 
[emoji23][emoji23] Mkuu unakera na vi-emojis!

Sasa wataweza kuongoza watu wasiotaka kuongozwa na wakuteuliwa?
Huyo Mbunge Hajitambui Kabisa
Amepata Ushindi Wa Ujanjaujanja Bado Unakwenda Kushukuru Kwa Lipi Sasa, Ona Amezomewa Na Kazi Haijaanza 😀😁😂😅😄

Ccm Wote Jifunzeni Hili Lililotokea Dodoma
Ushindi Wa Ujanjaujanja Hutakiwi Kushukuru
Unapiga Kimya Tu, Maisha Yanakwenda Kasi
Watanzania Siyo Wajinga!!🙄🙄😏😏😐
 
Fake video clip. Edited clip.
 
Ni kipindi cha kampeni walikua wakilalamik kwamba amechelewa kufika ,Aondoke ,Hatutakuchagua sio Hatujakuchagua .

CHADEMA na Tweeter kuna propaganda kule unaweza sema Tanzania ishapotea.
 
Mavunde ataota kila siku usingizini

"HATUJAKUCHAGUA, ONDOKA KWETU, KWENDRAAAA"[emoji23][emoji23]
 
Ni kipind cha kampen walikua wakilalamik kwamba amechelewa kufika ,Aondoke ,Hatutakuchagua sio Hatujakuchagua .

Chadema na Tweeter kuna propaganda kule unaweza sema Tanzania ishapotea.
We KIAZI KITAMU.

Ulisikia wapi?

Hivi unadhani zama hizi unaweza kudanganya mtu kwa technology?

Kwasababu ni lumumba situmii nguvu.

Gwaji boi mlisema kaeditiwa [emoji23][emoji23]
 
Fake video clip ndio maana mitandao imefugwa kwa utopolo kama huu.
Wewe kenge mjane unatumia radio ya mbao hapa?

Unashabikia mitandao kuzimwa na upo na VPN umelaza kende una type UPUUZI?

We KIAZI KITAMU[emoji23][emoji23]
 
Mbinu ile ile ya Wapinzani....."Rweikiza azomewa....", "JPM azomewa Bukoba..." aina hii ya 'siasa' itawachukua miaka mingine 100 kupewa uongozi..!
Kwanini msiwe wabunifu hata kukopy kwa nchi jirani mf. Kenya?
Hiyo zomea zomea ni wapinzani wamesema au ndo uhalisia? Hujaona hiyo clip?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…