Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeshakunyoosha tuliwaambia tutawanyoosha.Sema upo unalamba viatu vya wakubwa.
We si beki tatu huko?[emoji23]
Haya na SADC nao wamesema uchaguzi ulikuwa Huru na Haki. PoleniWewe una akili hata kidogo za kukusaidia kujitawaza bila kushika uchafu? Sisi wenyewe tulikuwepo kwenye vituo halafu unatwambia eti waangalizi. Walikuwa wanaangalia kum la mamko?
Huyo Mbunge Hajitambui Kabisa[emoji23][emoji23] Mkuu unakera na vi-emojis!
Sasa wataweza kuongoza watu wasiotaka kuongozwa na wakuteuliwa?
Hakuna wizi wa kura ila mmeshindwa kihalali.Watakwambia wananchi wamewachoka UPINZANI.
Sasa ndo muibe kura?.
Mngeacha wananchi wawahukumu wenyewe sio nyie NEC na ccm
Fake video clip. Edited clip.Huyo Mbunge Hajitambui Kabisa
Amepata Ushindi Wa Ujanjaujanja Bado Unakwenda Kushukuru Kwa Lipi Sasa, Ona Amezomewa Na Kazi Haijaanza 😀😁😂😅😄
Ccm Wote Jifunzeni Hili Lililotokea Dodoma
Ushindi Wa Ujanjaujanja Hutakiwi Kushukuru
Unapiga Kimya Tu, Maisha Yanakwenda Kasi
Watanzania Siyo Wajinga!!🙄🙄😏😏😐
kuwa dodoma sio shida ata me nipo dodoma mbonaTuko Dodoma tunapokea Hati za kuchaguliwa Rais na Makamo wa Rais wa JMT
Hakuna wizi wa kura ila mmeshindwa kihalali.
Tumeshakabidhiwa Hati tayari. Poleni sana wanasaccos.kuwa dodoma sio shida ata me nipo dodoma mbona
Hayo hayatuhusu nyinyi kusanyeni makaratasi na kuchanachana mbele ya kamera.Nini hizo?.View attachment 1617043
Mavunde ataota kila siku usingiziniHuyo Mbunge Hajitambui Kabisa
Amepata Ushindi Wa Ujanjaujanja Bado Unakwenda Kushukuru Kwa Lipi Sasa, Ona Amezomewa Na Kazi Haijaanza [emoji3][emoji16][emoji23][emoji28][emoji1]
Ccm Wote Jifunzeni Hili Lililotokea Dodoma
Ushindi Wa Ujanjaujanja Hutakiwi Kushukuru
Unapiga Kimya Tu, Maisha Yanakwenda Kasi
Watanzania Siyo Wajinga!![emoji849][emoji849][emoji57][emoji57][emoji52]
Fake video clip ndio maana mitandao imefugwa kwa utopolo kama huu.Mavunde ataota kila siku usingizini
"HATUJAKUCHAGUA, ONDOKA KWETU, KWENDRAAAA"[emoji23][emoji23]
We KIAZI KITAMU.Ni kipind cha kampen walikua wakilalamik kwamba amechelewa kufika ,Aondoke ,Hatutakuchagua sio Hatujakuchagua .
Chadema na Tweeter kuna propaganda kule unaweza sema Tanzania ishapotea.
Albadiri kubwa zinakuja CCM lazima waweweseke sanaHivi hakuna dua za kuagisha dunia mjeuri
Wewe kenge mjane unatumia radio ya mbao hapa?Fake video clip ndio maana mitandao imefugwa kwa utopolo kama huu.
Wewe ndiyo utopolo kwa kuendekeza Uteuzi na kukataa ukweli, upumbavu wa CCM kufunga mitandao usilazimishe uonekane tofautiFake video clip ndio maana mitandao imefugwa kwa utopolo kama huu.
Hiyo zomea zomea ni wapinzani wamesema au ndo uhalisia? Hujaona hiyo clip?!Mbinu ile ile ya Wapinzani....."Rweikiza azomewa....", "JPM azomewa Bukoba..." aina hii ya 'siasa' itawachukua miaka mingine 100 kupewa uongozi..!
Kwanini msiwe wabunifu hata kukopy kwa nchi jirani mf. Kenya?