Umeona mbali, wenyewe sura zao zimekunjamana hawana amani, hiyo nguvu ya kushangilia wataitoa wapi?!Teh teh
Alitumwa kama chambo kupima upepo
Wameona upepo hausomeki ...Polepole kaja na tamko kuwa hawaruhusiwi kusherehekea...
Washerehekee na nani kama wananchi wanawazomea....
Pole pole bana
Kwani ndani ya CCM hakuna wapinzani? Kwenye huu uchaguzi mamluki ndani ya CCM wametoa upinzani mkubwa kuliko hata chadema, wengine imebidi wawekwe lock-up!Hiyo zomea zomea ni wapinzani wamesema au ndo uhalisia? Hujaona hiyo clip?!
Hahaahaaa waangalizi wa Burundi!!!Waangalizi wa Burundi? hao nao ni waangalizi kweli au wapumbavu fulani tu, hakuna wangalizi wa kimataifa wamekubali Tanzania kulikuwa na uchaguzi bali wote wanajua CCM imeipora Nchi kwa njia haramu za kishetani, wewe utakufa kwa stress za moyo kuwasuta nafsi zenu
Huu ushauri wape ccm wenzio, waache kuiba kuraKatika ushindani kuna kushinda na kushindwa na ukishindwa jipange kwa mashindano yajayo.
Hao ni CCM wamevaa za hayo mavazi ya mbogamboga ndio wanamzomea.Kwani ndani ya CCM hakuna wapinzani? Kwenye huu uchaguzi mamluki ndani ya CCM wametoa upinzani mkubwa kuliko hata chadema, wengine imebidi wawekwe lock-up!
Mkuu ujue watetezi wa CCM mda huu wapo gheto kwa cyprian Musiba wanavuta Bangi usishangae utetezi wao kufanana maana wote hukaririshwa upumbavu na Le mutuz msaidizi na Mshauri mkuu wa polepole mkuu wa ushetani CCMWewe kenge mjane unatumia radio ya mbao hapa?
Unashabikia mitandao kuzimwa na upo na VPN umelaza kende una type UPUUZI?
We KIAZI KITAMU[emoji23][emoji23]
Kumbe unajua ccm inapingwa hata na ccm wenyewe?Kwani ndani ya CCM hakuna wapinzani? Kwenye huu uchaguzi mamluki ndani ya CCM wametoa upinzani mkubwa kuliko hata chadema, wengine imebidi wawekwe lock-up!
Upo nchi gani kwani hata usijue walioshinda ni CCM?Huu ushauri wape ccm wenzio, waache kuiba kura
Angalia hawa majaji wasomi wao hawajaremba wasema "UNFORTUNATELY ELECTION WAS NOT CREDIBLE"Hahaahaaa waangalizi wa Burundi!!!
Kwao wamezoea mabomu na risasi wanakuja hapa kuangalia nini?!
Jamaa wajinga sana.
Tuliza nyege mshindo dogoUpo nchi gani kwani hata usijue walioshinda ni CCM?
Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
CCM wengi wana vilio vingi na hasa wafanyabiashara ambao wengi wamefirisiwa kwa kubambikiwa kodi na TRA na wengine kupewa kesi za uhujumu uchumi kwa uonevu mkubwa, ndani ya CCM kwenyewe kuna upinzani mkubwa na wengi hawapendezwi na utawala wa mtukufu kaburu Mkoloni mweusi tokea chatoHao ni CCM wamevaa za hayo mavazi ya mbogamboga ndio wanamzomea.
"WEE NENDA HATUJAKUCHAGUA, TOKAAAAA, HATUKUTAKIIIII, KWENDRAAA"
Maskini kidogo apige ukunga kijana Mavunde![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwa maneno kama haya yasiyo ya staha nani angewachagua wakati hamna nidhamu?Tuliza nyege mshindo dogo
Upo sahihi mkuu!CCM wengi wana vilio vingi na hasa wafanyabiashara ambao wengi wamefirisiwa kwa kubambikiwa kodi na TRA na wengine kupewa kesi za uhujumu uchumi kwa uonevu mkubwa, ndani ya CCM kwenyewe kuna upinzani mkubwa na wengi hawapendezwi na utawala wa mtukufu kaburu Mkoloni mweusi tokea chato
Haimsaidii akati keshapata ujumbe hatakiwi na wananchi waliomuajiriUnamzomea mtu anaingia kwenye v8..si anakucheka tuu...maisha yanaenda kasi sana...
Hata wakimzomea haisaidii..
walimchagua wenyew...hao hao wanaomzomea walikua wanacheza mwaga maji tucheze kama kambale diamond alipokua stejini...
Mimi nimegombea wapi?[emoji23][emoji23]Sasa kwa maneno kama haya yasiyo ya staha nani angewachagua wakati hamna nidhamu?
Wewe no reflection ya waliokataliwa na wananchi kwa hiki ulichokiandika hapa.
Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Dah.. Hawa Ladies ni akili kubwaAngalia hawa majaji wasomi wao hawajaremba wasema "UNFORTUNATELY ELECTION WAS NOT CREDIBLE"
Hawa ndio walikaa vituoni na kuona wizi wa kuraView attachment 1617052View attachment 1617053View attachment 1617054
Una mental case acha nikuache uchote maji kwa tenga.Mimi nimegombea wapi?[emoji23][emoji23]
Hata kadi ya chama chochote sina
Kuna MTU ana maneno ya ngono kama mgombea wenu?
Mara UNATAKA NIPANUE WAPI?
Mara WANAWAKE WEUPE NAWAZIMIA
Na mengine ya kutisha.
Hujielewi Kima wee
Mbinu ile ile ya Wapinzani....."Rweikiza azomewa....", "JPM azomewa Bukoba..." aina hii ya 'siasa' itawachukua miaka mingine 100 kupewa uongozi..!
Kwanini msiwe wabunifu hata kukopy kwa nchi jirani mf. Kenya?