NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,201
ACHA KUPOTOSHA,,,Habari wakuu!
Jana, Oct 30 2020 Mbunge aliyeshinda jimbo la Dodoma mjini kwa tiketi ya CCM, ndugu Anthony Mavunde ameshindwa kuongea na wananchi wa Dodoma mjini baada ya kundi kubwa kuanza kumzomea.
Kitu hicho kilimpelekea kuingia kwenye gari na kuondoka kwa aibu kubwa.
Wananchi hao walisikika wakisema " WE NENDA, HATUKUTAKI , HATUJAKUCHAGUA, PANDA GARI UENDE ZAKO"
Hali iliyozua maswali mengi mtandaoni kwamba inakuwaje kuzomewa na kundi kubwa vile tena kipindi alipoenda kutoa shukrani kuchaguliwa?
Hii inaashiria nini tuendako? Na Dodoma si ngome ya CCM?
Je, wananchi wanatuma ujumbe gani kwa hili tukio?
Kusema wenye nchi ni wananchi?
Nisiwachoshe kwa maswali tazama mkasa mzima hapo chini.
View attachment 1616367
HILO TUKIO NI KABLA YA UCHAGUZI ..ILIKUWA KIPINDI CHA KAMPENI. NA HAPO NI MSALATO MNADANI.
CHANZO NI KWAMBA MH.RAIS ALIKUWA ANATOKEA BABATI KUPITIA BARABARA YA KONDOA-DODOMA.
HAO WANANCHI WALITANGAZIWA SIKU MBILI KABLA KUWA ,,RAIS ATASIMAMA KUZUNGUMZA NAO ILI WAWASILISHE KERO ZAO LAKINI HAKUSIMAMA BILA KUTOA SABABU...KITENDO HICHO KILIWAKERA.
HIVYO WAKAANZA KUMZONGA ZONGA MAVUNDE ..