Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Umma hauna nguvu ya kushinda jeshi hata siku moja,na katika nchi yoyote."Wee nenda, hautuhusu, hatujakuchagua, ingia kwenye gari yako uondoke...". Maneno mazito kweli kweli. Eh, hata Dodoma? Watapata sana taabu kwa unyang'anyi wao. Yaani, yaani.... ngoja tuone kati ya umma na jeshi nani ana nguvu. Bila shaka mwisho wao utakuwa mbaya sana kama ulivyo mwisho wa madikteta wote.
CCM kama ni mgeni ambaye amekwishapitisha siku zake za kuwa mgeni lakini hajitambui. Hata mkifanya mema vipi, kama watu wamekwisha wachoka haitasaidia. Mtajenga sana mabarabara, mabwawa, SGR... lakini hayatawaingiza katika mioyo ya watu. You have overstayed. Mtatakiwa kuiba kura tena 2025.
Ni swala la kiubinadamu tu, kwakua kuua hakupendezi. Ila macho yakifumbwa na ikatakiwa ipimwe nguvu Kati ya majeshi na umma, hakuna anaeweza kusalimika.