STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Innalillahi wa inna Ilayhi rajiun
HakikaDawa ipo jikoni, tulipofikia Ni pabaya!
We need to send some regards, soon!
Kwani sentensi yako hii ingeishia hapo nilipokoreza isingekuridhisha mkuu 'k12c', hadi ukaona ni muhimu kwako kuongezea hayo maneno ya ziada ambayo naweza kuyaita ni ya kipumbavu?Uchaguzi wa mwaka huu, Mungu atusaidie sana amani itamalaki na uvumilivu uwepo kila mahali,bila ya kujali haki imetendeka au laah.
Hapana.Hakika
Tundu Lissu, Azory Gwanda, Ben Saanane, Mawazo, nao yaweza ikawa sio siasa.Na kwanini huwezi Kuamini kuwa inaweza isiwe ni mambo ya Kisiasa?