TANZIA Dodoma: Asia Saidi, Mwenyekiti wa BAWACHA afariki dunia kwa kupigwa na mshale

TANZIA Dodoma: Asia Saidi, Mwenyekiti wa BAWACHA afariki dunia kwa kupigwa na mshale

Uchaguzi wa mwaka huu, Mungu atusaidie sana amani itamalaki na uvumilivu uwepo kila mahali,bila ya kujali haki imetendeka au laah.
Kwani sentensi yako hii ingeishia hapo nilipokoreza isingekuridhisha mkuu 'k12c', hadi ukaona ni muhimu kwako kuongezea hayo maneno ya ziada ambayo naweza kuyaita ni ya kipumbavu?

Samahani sana lakini, imenibidi nitumie hilo neno 'pumbavu' kwa maudhi niliyohisi baada ya kusoma hiyo sehemu ya mwisho.
 
Ndio itakuwa hivi mpaka Nov??!
RIP Mwanetu!
 
Kupoteza roho ya mtu kwa sababu yoyote ile ni jambo lisilovumilika, ni ovu, na linastahili kulaaniwa haswa, sio kusema tu RIP.

Natumai polisi watafanya uchunguzi wao, wawakamate wahusika wafikishwe panapostahili sheria ichukue mkondo wake.
 
Back
Top Bottom