Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Achana na habari za Mama, hata sharia hairuhusu, huyu ni Raisi wenu na sio Mama Yako! Usitafute sympathy
Mimi pia huwa nakerwa na watu wanaojipendekeza, eti mama, mama, hadi aibu! Unakuta janaume jitu Zima, mama,mama, come-on! Tunaweza ku-survive bila kujipendekeza kwa namna hiyo. Unaweza kukuta hata mama yake mzazi hamuiti kwa heshima, adabu na mara kwa mara hivyo. Frankly I hate such habits.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumekopa trillion 1 kuendeleza…..bandari halafu tunampa mtu….
Elewa spika kaliweka sawa kuna development oparation and investment, unajua hapo patawekwa katika kipengere kipi, tuwe makini tuache ushabiki.
 
Mimi pia huwa nakerwa na watu wanaojipendekeza, eti mama, mama, hadi aibu! Unakuta janaume jitu Zima, mama,mama, come-on! Tunaweza ku-survive bila kujipendekeza kwa namna hiyo. Unaweza kukuta hata mama yake mzazi hamuiti kwa heshima, adabu na mara kwa mara hivyo. Frankly I hate such habits.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhaaaaa
 
Za South Afrika je ambazo zimeshindwa kumwajibisha zuma kwa kuwakabidhi nchi
Zina meno kuliko hizi Mahakama za CCM Lumumba

Unakumbuka yule Mkulima aliyezulumiwa na Serikali ya Nyerere aliyeishika Ndege yetu huko South Afrika mpaka akalipwa?
 
Kwenye makubaliano ya mkataba tuwaambie DPWorld waipanue Mandela Road iwe njia Sita ili Lane mbiili ziwe za Malori ya kutoka Bandarini tu.
Mizigo yote itaondolewa kwa reli hadi Kwara

Mizigo itayobaki Dar ni ya Dar tu
 
Mama Royal Tour sasa hoteli za kitalii vyumba havitoshi

Hili la ushirikiano wa kibandari ndani ya muda mfupi sana ujao usafirishaji wa mizigo hautatosha. Hata SGR ikikamilika haitatosha.

Mama anaupiga mwingi sana.
 
Back
Top Bottom