Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabunge wenyewe vilaza kama kina babu......aibu tupu.Naona umuhimu wa wapinzani kuwapo bungeni, Magufuli umetuletea balaa kwa kupitisha pitisha wabunge wa ccm kwa mabavu
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.
======
Leo Juni 10, 2023, Bunge la Tanzania linatarajia kujadili mkataba kati ya Serikali na Kampuni ya DPWorld unaodaiwa kutotaja ukomo kuhusu Ushirikiano katika Uendeshaji, Uendelezaji na Uboreshaji wa Bandari zote za Baharini na Maziwa zilizopo Tanzania Bara
Mkataba umeibua maswali ambayo hayajapatiwa ufafanuzi wa kina ikiwemo thamani na muda wa uendeshaji pamoja na sababu za Tanzania kuingia mkataba na kampuni inayotajwa katika kesi za ukwepaji kodi na migogoro katika utekelezaji mikataba huku baadhi ya Nchi zikiikataa kampuni hiyo.
Je, unaufahamu kiasi gani Ushirikiano wa DP-World na Bandari?
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anawasilisha Pendekezo la Kuridhiwa kwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anawasilisha Pendekezo la Kuridhiwa kwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini, leo Juni 10, 2023
PROF. MAKAME MBARAWA
"Pamoja na kuchukua hatua mbalimbali za maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam, bado ufanisi katika utoaji Huduma za haujafikia viwango vinavyotakiwa kimataifa.”
“Hali ya sasa ya utendaji imeendelea kuwa ya kiwango cha chini ikilinganishwa na Bandari shindani kikanda. Kwa mfano, wastani wa meli kusubiri nangani kwa Bandari ya Dar es salaam ni Siku 5 ikilinganishwa na Siku 1.25 kwa Bandari ya Mombasa na siku 1.6 kwa Bandari ya Durban.”
"Ufanisi mdogo wa Bandari ya Dar umetokana na changamoto ikiwemo kukosekana kwa Mifumo ya kisasa ya TEHAMA, maeneo ya kutosha ndani na nje ya Bandari kwa ajili ya kuhifadhia shehena, Maegesho ya Meli, mitambo ya kutosha na ya kisasa ya kuhudumia shehena ambayo ina gharama kubwa ya Uwekezaji.”
“Meli kutumia muda mrefu kupakia na kupakua shehena gatini kwa wastani wa Siku 5 ikilinganishwa na Siku 1 inayokubalika Kimataifa, pamoja na Meli kubwa kutokuja katika Bandari ya Dar kutokana na kuchukua muda mrefu kuhudumiwa
Mimi mbunge wangu simlaumu sababu najua ni darasa la nne hivyo haya mambo kwake ni makubwa sana. Uchaguzi wa 2020 unatuletea shida sana.Wabunge walioko bungen kwao aya mambo yako juu ya uwezo wao , mbunge anasema wenzetu wanapakua mizigo kwa siku tatu tena majirani , sasa si watume watu wajue why iko hivyo , badala yake mnakimbia mpa mwarabu why msimpe mkenya ambae inaonesha amekua na ufanisi katika endesha bandari zake , hamna akili
Just comedy to balance the debate, analindwa na hao hao hawezi kuwageukaKipindi Cha Magu FaizaFoxy alipotea kabisa
HakikaJust comedy to balance the debate, analindwa na hao hao hawezi kuwageuka
Kwa speed ya ajabu, wameanza kulipia bandoHiyo taasisi haikupewa kipaumbele...ila sasa imerudi kibaruani..😂😂
Ni WapumbavuMbona wanamkatisha Mdee kila muda
Za South Afrika je ambazo zimeshindwa kumwajibisha zuma kwa kuwakabidhi nchi wale wahindi ndizo zitaweza hili. Narudia tena hapa shida ni vipengele au kutoelewa kwa wananchi. Na sioni shida kwanini wizara isingeleta wataalamu wakafanya mdaharo hata ITV wakafafanua na watu wakauliza maswali kuliko mara tutawachukulia hatua mara msigwa ajichangamye figures.Hizi Mahakama za CCM nani aziamini? zimeshindwa kuwaondoa Wabunge haramu 19 waliofukuzwa Bungeni zinamsubiri Mwenyekiti wa CCM aziamrishe.
Invester anayeingiza Millions of Dollars ya mtaji wake si akizulumiwa ndio utegemee atapewa haki na hizo Mahakama za Lumumba?
Magufuli ni noma sana bibi alipotea mazimaKipindi Cha Magu FaizaFoxy alipotea kabisa