mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
nimekujibu nimefuta nikakujibu nikafuta nikafuta nikakujibu hivi. Basi tuu nikae kimyaKumbe sio kupewa madali yote ni sehemu tu ya badali, na serikali pia itamiliki sehemu kwa mjibi ya waziri. Gati 8 hadi 9 gati ya magari hayako kwenye mkataba, hauna uhusiano na bandali ya tanga na mtwara.
TPAManagement inabaki kwa nani?
Hilo huwa linapinduka baadae kweli huwa wanabaki ila hawawezi kudumuWatumishi waliopo wataendelea na kazi.
Huo ni uongo wabunge kataeni uhuni huu mnaingizwa cha kike baadae mtaambiwa mlinukuliwa vibaya
Hii speech anayoisoma Prof Mbarawa ni msimamo wa Serikali au DP world?Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.
Watu hawatahijika maana mitambo itahusika zaidiHilo huwa linapinduka baadae kweli huwa wanabaki ila hawawezi kudumu
Wewe twambie ukweliHuo ni uongo wabunge kataeni uhuni huu mnaingizwa cha kike baadae mtaambiwa mlinukuliwa vibaya
Rudisha pesa ya adaWatanzania mbona hatuoni UKWELI Moja lengo hapa ni Bandari ya TANGA kumbukeni Bomba linapita hapo. Je wanataka kumiliki na Hilo Bomba?
Kwani wewe unategemea lisipite??Mbona like wameshapitisha tayari