Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Nimekujibu ni
Kumbe sio kupewa madali yote ni sehemu tu ya badali, na serikali pia itamiliki sehemu kwa mjibi ya waziri. Gati 8 hadi 9 gati ya magari hayako kwenye mkataba, hauna uhusiano na bandali ya tanga na mtwara.
nimekujibu nimefuta nikakujibu nikafuta nikafuta nikakujibu hivi. Basi tuu nikae kimya
 
Manufaa


Kupunguza muda wa Meli kukaa Nangani kutoka Siku 5 hadi Siku 1

Muda wa kushusha Makasha utakuwa siku 2

Gharama za kusafirisha kupungua

Gharama za usafirishaji utatoka dollar 12,000 hadi 6000

Kuongezeka kwa Tani za mizigo

Kuongezeka kwa mapato kutoka Tril 7 hadi 29
 
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.


Hii speech anayoisoma Prof Mbarawa ni msimamo wa Serikali au DP world?
 
Back
Top Bottom