MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Noma Sana wakuuu.
Huyu dada apewe uenyekiti wa chama chetu, ana maono mkubwa.
Huyu dada apewe uenyekiti wa chama chetu, ana maono mkubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niseme tu, Rest in hEll JPM.Sasa inaboa siwamuache amalize kuongea kila saa taarifa
AiseeNoma Sana wakuuu.
Huyu dada apewe uenyekiti wa chama chetu, ana maono mkubwa.
Mama Royal Tour sasa hoteli za kitalii vyumba havitoshi
Hili la ushirikiano wa kibandari ndani ya muda mfupi sana ujao usafirishaji wa mizigo hautatosha. Hata SGR ikikamilika haitatosha.
Mama anaupiga mwingi sana.
Hivi huyu spika ana akili
Sina uhakika ila naamini kuwa analinda Maslahi ya upande wa Tanzania😜😜Hivi huyu spika ana akili?
We ushaona watu wa Zanzibar wana akili?Mbarawa na Saa100 ni watu wavivu kufikiria na ni watu was iota kusumbus akili zao.
Kwa sababu hiyo anaona wacha na kila kitu kiulaini Ili nchi ipate fedha jambo ambalo halita kaa litokee,
wakatupeleka mbugani kwanzaTBC wameona isiwe kesi, wamekata