Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Tanzania nchi yangu,nakupenda sana....
Watu wenye hoja kina mdee wanapigwa vita kwa personal attacks,
Badala ya kuchangia wasikilize ni taarifa kila Muda spika ana muharasi harasi,
Wame mvuruga kwa kelele za taarifa taarifa, taarifa. Baadhi ya wabunge waliwananga Watanzania wenzao huku nje na mitandaoni eti wanapiga kelele. Kumbe ndani ya jumba tukufu kelele pia ziko.
Yote kwa yote pamoja na ukweli kwamba kelele nyengine huku nje zinasababishwa na wenyenia mbaya, sawa. Bado hii haikutoi kuwa makubaliano yana nia isiyo wekwa wazi na madhaifu mengi. Na hizi haya madhaifu katika makubaliano ndio ya mewapa hao maadui mwanya kutumia kutimiza nia zao ovu.