Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Tanzania nchi yangu,nakupenda sana....
Watu wenye hoja kina mdee wanapigwa vita kwa personal attacks,
Badala ya kuchangia wasikilize ni taarifa kila Muda spika ana muharasi harasi,

Wame mvuruga kwa kelele za taarifa taarifa, taarifa. Baadhi ya wabunge waliwananga Watanzania wenzao huku nje na mitandaoni eti wanapiga kelele. Kumbe ndani ya jumba tukufu kelele pia ziko.

Yote kwa yote pamoja na ukweli kwamba kelele nyengine huku nje zinasababishwa na wenyenia mbaya, sawa. Bado hii haikutoi kuwa makubaliano yana nia isiyo wekwa wazi na madhaifu mengi. Na hizi haya madhaifu katika makubaliano ndio ya mewapa hao maadui mwanya kutumia kutimiza nia zao ovu.
 
Yaani tunavyochambwa kama namuona mange uko
 
Hakuna mkataba unaojadiliwa, kinachidaliwa ni maridhiano ya ushirikiano kimaendeleo wa nchi mbili.

Hicho kinachodaliwa ndicho ambacho kinaenda kuwekwa kwenye huo mkataba kwakua hakuna kinachojadiliwa au kupingwa na wabunge wenye akili kama hizo, kwahiyo ni sawa tu mtu akiamua kuuita mkataba.
 
Bunge la leo ni la kuwachamba wananchi, na wamejipanga kweli kweli.
Kuna muda hakuna maana kupiga kura.. kama demokrasia ndo hii, Africa hatutaendelea milele.
 
Mbunge mwenyewe anauita mkataba. Kiukweli huu ni mkataba na sio majadiliano kama baadhi ya wajinga wanayosema humu, kwasababu hakuna chochote kilichorekebishwa, makubaliano yamekuja na yataondoka kama yalivyo kwenda kusainiwa (HAKUNA MABADILIKO).

Logically, huo ndio mkataba wenyewe.
 
Wakati ndugai aliposema maneno Yale mlishadadia sana nyie chadema na kuungana na kushinikiza sana na makundi kwa makundi mkawa mnachochea,
Je Leo kiko wapi?Acha wabunge waamue nyie subirini matokeo.Mama anaupiga mwingi.
 
Magufuli Asante kwa kutuletea wabunge wa ndiyo mzee.Tunajua lengo lako lilikuwa wasilete longo longo kwenye kukuongezea muda wa kutawala,ona sasa leo haupo,ndo hao hao wanatumia kupitisha mambo ambayo hata wewe uliyakataa.Mfyuuuuuuu
JPM alikuwa sahihi sana kutuletea wabunge hawa wanaokwenda kuyavimbisha mapato katika bandari zetu.....
 
Imagine,

Bandari ya Tanga kwa kwa asilimia kibwaniwe kwa ajili ya Uganda na Sudan ya Kusini tu.

Bandari ya Dar kwa asilimia kubwa iwe kwa ajili ya Rwanda na Burundi tu.


Bandari ya Mtwara kwa asilimia kubwa iwe kwa ajili ya Malawi na Zambia tu.


Bandari ya Bagamo kwa asilimia kubwa iwe kwa ajili ya Congo na Tanzania tu.

Mama anauoiga nwingi, tena sana.


Miaks 5 kuanzia leo tutegemee bajeti yetu kuwa surplus.
 
[emoji1787][emoji1787]
Mkuu unajitia aibu....hakuna mkataba hapo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…