Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Kwanini tupotoshane kwenye haya mambo. Tunajua kuna makampuni ya wazawa yalikua yakitoa huduma na bado yanatoa huduma.Itakua vyema sana kwamba ayo makampuni basi nayo yashirikiane na wawekezaji wapya au serikali katika kuboresha huduma ingawa ili linahitaji umakini sana kwani tunaweza kusababisha hujuma ,ugomvi na kutofanya kilicho kusudiwa. Itakua si sawa wala busara kuziondoa moja kwa moja kampuni za wazawa ingawa nazo sina uhakika kama niza wazawa kweli.
 
Tukubaliane kitu kimoja hapa.

Biashara ya logistics kwa wazawa ni moja kati ya sehemu ambazo zitaathiriwa kwa kiwango kikubwa sana baada ya hiki kitu kuanza.

Usafirishaji utashikwa na baadhi ya viboba au waarabu wenyewe, waliowezesha huu mkataba kupita, tukizingatia kwamba mizigo mingi itakuwa chini ya DP.
 
Dr. Tulia anatema yai [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hongera Dr. Tulia Mbunge wetu wa Mbeya
 
Huu mkataba Magufuli kamwe asingeweza kukubali, hata hawa Waarabu wasingesogeza pua zao. kwa hili bunge Magufuli alikosea sana Taifa bunge la kijinga sana hili. Mama aliwekwa kwenye mnara pale Dubai kumbe wana lao. Huu muungano wa kijinga mno, Nyerere achomeke sawa sawa huko.
 
Vipi yule Mtaalamu wa mahesabu Professa Assad aliyefukuzwa na Magufuli baada ya kusema fedha zimeporwa?
Ndio ujue kwamba wataalamu hawana lolote la kufanya kwenye hatima ya taifa hili zaidi ya wanasiasa, sasa utawalaumu kwa kipi?


Wajinga ndio wamepewa uwezo mkubwa wa kuamua.
 
Kabisa. Baada ya Kifo cha JPM tu. Waarabu wame mwagika Tz. Wezi tupu.
 
Tulia anatema yai kumbe Huyu Spika ni mzungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mac ndugu yangu punguza jazba [emoji1787][emoji1787]

Wewe hutaki kuziona bandari zinakuingizia NUSU YA BAJETI YA NCHI kila fiscal year?!!![emoji1787]
 
Asingeyumba hapo nyuma, 'legacy' yake ingekuwa iko vizuri sana na watu wangemuamini na kumuheshimu kwa kile anachokiongea; ila ile kuwa 'cheap' imemuharibia, ndio maana wengine wanampuuza tu hapo mjengoni; ingawa wanasema hakuna mkate mgumu kwenye chai.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…