MANYEMA ALEX
Member
- May 3, 2023
- 51
- 55
Kwanini tupotoshane kwenye haya mambo. Tunajua kuna makampuni ya wazawa yalikua yakitoa huduma na bado yanatoa huduma.Itakua vyema sana kwamba ayo makampuni basi nayo yashirikiane na wawekezaji wapya au serikali katika kuboresha huduma ingawa ili linahitaji umakini sana kwani tunaweza kusababisha hujuma ,ugomvi na kutofanya kilicho kusudiwa. Itakua si sawa wala busara kuziondoa moja kwa moja kampuni za wazawa ingawa nazo sina uhakika kama niza wazawa kweli.