Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Kanye ulale
 
Huu sio mkataba wa kwanza, ila tutaongea Lugha moja hata mwaka hautaisha. Mbona SGR mnapigwa kila siku?.
Kama ndivyo basi hakuna suluhisho la lolote uongealo kuhusu hayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#MamaAnaupigaMwingi
 
Huyu Mwijage anacho zungumza, mbna hakielewekiii??
Yuko nje ya mkataba kabisaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maana DP World wanapewa Berth 1-7 tu
8-11 zinabaki TPA kama kawaida

Mafuta, Gesi, Magari yanabaki TPA

Ulinzi unabaki kwa Tanzania

Mtwara na Tanga hazitahusika
Nawewe unaamini wanachosema hao wezi?
 
Hata mimi nimesikitika nilitamani apewe mda zaidi ase angefungua vichwa watu wengi juu ya huo mkataba cha ajabu wame mzonga zonga tu ashindwe kuongea.
Sasa shida makubaliano ya Green Mamba team ni kuwa asiwepo wakusema Mfalme Zumaridi yupo uchi,wote wanapaswa kusema Mfalme kavaa nguo.
 
Umeuliza swali muhimu sana...
Tumeshirikiana na bado tunashirikiana mfano TAMOFA,TAZAMA lakini pia tunashirikiana kwenye ujenzi wa miundombinu. Tatizo nadhani ni uraji
Tatizo ni mwarabu,na tatizo siyo uarabu wake Bali dini yake...watu wamejivika hofu tangu 'kale' na misaada ya mwarabu kwa kuwa dini yao wao ilisambazwa kwa misaada ya masweta na peremende,wanaogopa influence ya mwarabu
 
Hapana mdee hajajipanga ki hoja hop kapoteza tu mda eti ana speculate vya mbele, yule kapangwa ili aonekane mpinzani ila haja leta point hata moja anaongelea vitu vilio njee ya azimio
Sasa kama kweli kapangwa mbona hawampi mda?

Ndiye mbunge pekee niliye muona akiongea kwa reference baada ya hpo na TV nikazima maana kama umeruhusu watu kuongea waache waongee.
 
Sina mengi wana jf , ila nawasalim

Rais wa JMT , SSH , Ameanzisha vita na na wenye nchi ya JMT pamoja na kukwabia utoe MOU BUNGENI AMEKAIDI , na Dude limepita pamoja na Halima Mdee mbunge asie kua na Chama kuonesha matobo ya MOU HII,
SASA aoneshwe makali ya wenye nchi yao kwa msingi huu

1. Mikoa yote tz tuanze safari ya maanndamano ya amani kwa mguu kuelekea ofisi ya umma ikulu ambapo ndo makazi ya rais, ila wana Mbeya kwanza fanya maandamano ya amani kwenda nyumbani kwa Tulia, na speaker

2.kabla ya yote haya nawaomba viongonzi taifa Chadema mlio nje rudi nchini mara moja

Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…