Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanye ulaleUkweli ni kua Mh.Rais na timu yake ya uongozi chini ya CCM,wamefanya maamuzi safi wakati sahihi. Zilipigwa sana kelele kuhusu wawekezaji,mizigo kuchelewa bandarini na rushwa kuwepo bandarini.Kwa kiasi kikubwa naona sasa serikali ya awamu ya sita imefanya maamuzi sahihi ili kutatua matatizo tuliokua tumezoea.
Mwisho,wanasiasa wengi waliomba nchi yetu pamoja na serikali kufanya paradigm shift ya kutoka kwenye diplomasia ya kiasa (political diplomacy)kwenda kwenye diplomasia ya uchumi(economic diplomacy). Sasa Mama Samia Suluhu na serikali yake wamejua faida yake na kuanza kutekereza ilo lakini wanatokea watu wanaanza kupotosha. Sote tukiungana kwa pamoja na kushirikiana na serikali yetu uhakika kwa kupiga hatua kubwa hupo kwenye uchumi wa bandari yetu na uchumi wa blue.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Kama ndivyo basi hakuna suluhisho la lolote uongealo kuhusu hayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu sio mkataba wa kwanza, ila tutaongea Lugha moja hata mwaka hautaisha. Mbona SGR mnapigwa kila siku?.
Mang'ombe hayajui hilo, yapo tu yanapingapinga hapa.Upigwaji mnada wa mizigo Bandarini itakuwa historia gharama handling zitapungua maradufu.
Nawewe unaamini wanachosema hao wezi?Maana DP World wanapewa Berth 1-7 tu
8-11 zinabaki TPA kama kawaida
Mafuta, Gesi, Magari yanabaki TPA
Ulinzi unabaki kwa Tanzania
Mtwara na Tanga hazitahusika
Ana mafua makali sana.....Hivi Luhaga Mpina leo hazungumzi?
Sasa shida makubaliano ya Green Mamba team ni kuwa asiwepo wakusema Mfalme Zumaridi yupo uchi,wote wanapaswa kusema Mfalme kavaa nguo.Hata mimi nimesikitika nilitamani apewe mda zaidi ase angefungua vichwa watu wengi juu ya huo mkataba cha ajabu wame mzonga zonga tu ashindwe kuongea.
Tatizo ni mwarabu,na tatizo siyo uarabu wake Bali dini yake...watu wamejivika hofu tangu 'kale' na misaada ya mwarabu kwa kuwa dini yao wao ilisambazwa kwa misaada ya masweta na peremende,wanaogopa influence ya mwarabuUmeuliza swali muhimu sana...
Tumeshirikiana na bado tunashirikiana mfano TAMOFA,TAZAMA lakini pia tunashirikiana kwenye ujenzi wa miundombinu. Tatizo nadhani ni uraji
Mpina ni buyu tuZamu ya Mpina ikifika mtaniambia
Sasa kama kweli kapangwa mbona hawampi mda?Hapana mdee hajajipanga ki hoja hop kapoteza tu mda eti ana speculate vya mbele, yule kapangwa ili aonekane mpinzani ila haja leta point hata moja anaongelea vitu vilio njee ya azimio
Nilichogundua tatizo kubwa hapa ni Uarabu wa DPWorld sioni zaidi ya kingine.Mang'ombe hayajui hilo, yapo tu yanapungapinga hapa
Kabisa !Hata Mbowe yuko kwenye maridhiano
Me mwenyewe namsubiriHivi Luhaga Mpina leo hazungumzi?
Vijana wa siku hizi mpo hivi yaani ni hovyo kabisa .Sema shida ni uhuru umezidi sana.Hivi fikiria kauli kama hii unamwandikia mzazi wako..Kanye ulale
Hilo ni muhimu storage ilikua kero sana angalau muwekezaji mwenye pesa kaja ataweza kuhamisha mzigo fasterUpigwaji mnada wa mizigo Bandarini itakuwa historia gharama handling zitapungua maradufu.