Kwa uzalendo ganiii? Hivi msongozi uli msikiliza vizurii???Mnyonge nyongeni haki yake apewe leo wengi wao wamechangia kwa hosia za Kizalendo pamoja na kwamba bado mila na desturi za Bunge zina wa bana.
Makofi ya na pigwa ya kutosha. Labda wangefikiriwa uwezekano wa alawansi ya makofi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliii.Kuna msomi ndani ya ccm? Ukiwa kwenye hicho Chama unaogeshwa Maji ya bendera
Liwaitara lijinga sana. Big chawaWaitara anafufua madudu ya Chama chake kuficha mikataba, hata huu mkataba wanajadili walichoelekezwa na mkuu wao wa nchi kwakua tu lilipamba Moto mitandaoni. Nitaandamana kupinga huu mkataba hata peke angu
Kwa uzalendo ganiii? Hivi msongozi uli msikiliza vizurii???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubaguzi....Tangu lini Mzanzibar akawa smart ? Mtu aliyefeli form 4
Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
Waitara badala ya kuzungumza hoja iliyopo mezani anaanza kuwashwa, hawa wabunge sidhani kama ni watanzania ahse
Mimi ni mwanafunzi nnaependa kufundisha kutoka moyoni mwangu "pedagogic at heart".Watanzania wote akili zao ni kama waalimu tu.
Cc Mpwayungu Village
Kelele za Aikaeli hazikusaidia kitu na sasa mzee waatukio sijui atarukia nini?πππ
Tatizo ndio liko hapo. WAMESHINDWA (hawa wavivu wa kufikiria)! lakini hawataki kutoka.Kama serikali inakiri kwamba haiwezi hawana uwezo wa kusimamia rasimali za Nchi na kuamua kuwapa wageni waje wazisimamie basi ni wazi kua hata hao Viongozi wa Serikali hawana uwezo wa kuongoza Nchi na kusimamia rasilimali ni vyema na wao waitaarifu Uingereza kurudisha GAVANA aje KUTAWALA TENA TANGANYIKA.
Wabunge pesa walizohongwa zimewavuruga mnooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khe! Waitara anataka Samia aitwe Mama wa Taifa[emoji2296]
[emoji7][emoji7]View attachment 2652453
Karibuni Wageni.