Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Mnyonge nyongeni haki yake apewe leo wengi wao wamechangia kwa hosia za Kizalendo pamoja na kwamba bado mila na desturi za Bunge zina wa bana.

Makofi ya na pigwa ya kutosha. Labda wangefikiriwa uwezekano wa alawansi ya makofi.
Kwa uzalendo ganiii? Hivi msongozi uli msikiliza vizurii???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG_1248.jpg

Huyu jamaa anafanya kampen aseee[emoji23][emoji23][emoji120][emoji119][emoji119]
 
Kama serikali inakiri kwamba haiwezi hawana uwezo wa kusimamia rasimali za Nchi na kuamua kuwapa wageni waje wazisimamie basi ni wazi kua hata hao Viongozi wa Serikali hawana uwezo wa kuongoza Nchi na kusimamia rasilimali ni vyema na wao waitaarifu Uingereza kurudisha GAVANA aje KUTAWALA TENA TANGANYIKA.
Tatizo ndio liko hapo. WAMESHINDWA (hawa wavivu wa kufikiria)! lakini hawataki kutoka.

Sasa kwakua WAMESHINDWA, wanataka kutumaminisha kwamba NCHI imeshindwa

Jiulize, kama wameshindwa kuisimamia na kuiendsha Bandari kwa ufanisi wa kiwango cha juu?

Wataweza: Kusimamia na kuendesha SGR kwa ufanisi hata wa wastani? - hiyvo watakodisha?
Wataweza: Kusimamia na kuendesha TTCL, ATC, TANESCO etc kufikia kupata faida? - hivyo watakodisha?
etc
 
Hao wabunge naona wanatuoa watz wore hatuna akíli. Sijaona hoja nyeti inayojadiliwa .

Tunasubiri kuingia barabarani Hadi kieleweke
 
Back
Top Bottom