Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Dunia ya serikali kufanya biashara inazidi kuwa NYEMBAMBA.....Na hasa tatizo lilikua ni nini? na ukikodisha unaondoa tatizo la msingi au unaliahirisha?
je utakodisha kila unaposhindwa kusimamia? Kama hakukodishiki itakuaje?
Serikali imeshindwa kutelekeleza wajibu wake wa msingi. Imekosa dira. LAKINI hakuna wa kuiwajibisha.
Umendika upuuzi mtupu DadaKwa uharo huo!
Kwa ujinga huo!
Kwa unafiki huo!
Kwa uchumia tumbo huo....
Wananchi kama mnajitambua,basi tuseme wazi...
2025 CCM BYE BYE!
Nimeipenda hii. Umejitofautisha na waalimu.M
Mimi ni mwanafunzi nnaependa kufundisha kutoka moyoni mwangu "pedagogic st hesrt".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tokaaa hapaUchaguzi ujao kalichukue hilo jimbo shostito.....[emoji1787][emoji1787]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1241][emoji1241][emoji1787][emoji1787]
Sasa imeuzwa vipi mrembo ?!!!
Hata mkataba haujaingiwa?!!!
Ahaa...kwahiyo ulitaka tuwe na fikra moja kama wale Wanyamapori maarufu ambao mmoja wao akivuka Mto Mara woote wanamfuata hata kama yeye analiwa na Mamba? Sijui wanaitwaje wale.Huwezi kunifundisha chochote, mimi tayari nimekupuuza uchawa wako. Nafikiri busara ni kuendelea kuimba mapambio humu.
Uduguuu nawee umepewa v8 0 kilometers?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Sasa imeuzwa vipi mrembo ?!!!
Hata mkataba haujaingiwa?!!!
Hisia zako tu....Salute,hbr ya leo,bunge la leo, wabunge woote hoja zao ni suti,zinafanana zoote,toka mchangiaji wa kwanza mpk mda huu saa saba na nusu,ni halima mzee tu ndio katilia mashaka mkataba huu.
Wengine woote ni kusifu,bkupongeza na kuunga mkono hoja. Sijui huyu mungu wao leo kawaanbia nini?
Kiufupi kamati ya ufundi ya DP imemaliza kazi.
[emoji7]Safi sana.
DPWorld Southhampton port hakuna mfanyakazi hata mmoja aliyelazimishwa kuswali.Muanze mafundisho yenu ya kulazimishana na kutishana
DP inaonekana wanamfuko mpana sana
Hahaaaa jamaa sijui unajiita nabii, shehe, Mganga wa kienyeji au Mamajusi. Una mikwara hewa na kwa kunitukana sijui kama kuna Mungu hapo kwako labda miungu. Huwa mna mbwembwe sana vijana nyie ili muonekane wa maana. Nimekuuliza swali, nini tatizo kwenye hilo? Hujibu una kazi ya kuniletea taarabu.Sibishani na mjinga mmoja , najua nini nasema mbele Mungu ,na sio kwa binadam mwenzangu ambae najua wote tufukiwa siku moja na kila mtu kwa mda wake ,pumbavu
Sasa hisia za kizalendo zisikujae?!![emoji1787]Mnyonge nyongeni haki yake apewe leo wengi wao wamechangia kwa hosia za Kizalendo pamoja na kwamba bado mila na desturi za Bunge zina wa bana.
Makofi ya na pigwa ya kutosha. Labda wangefikiriwa uwezekano wa alawansi ya makofi.
Tuzidisheni dua, Corona imeanza kuchanganya tena kazi inaweza kuwa rahisi,tena safari hii ifyeke cream yote ya CCM ili nchi ipone,wote tuseme amen!!!Hapo vip!!
Sitaki niongee maneno mengi kuhusu huu mkataba wa Dp world na mambo ya loliondo,kwasababu mambo mengi yamewekwa wazi dhidi ya ubaya wake kwa watanzania.
Kwasababu samia hataki kusikiliza maoni,madai na malalamiko ya watanzania wanyonge basi kupitia andiko hili watanzania wanyonge tunamkabidhi Mungu malalamiko yetu na tuna imani atatujibu kwa haraka.
Unapuunza maamuzi ya watanzania wengi ukijiona wewe una akili kuliko wao,hakika umejidanganya sana.
Naomba yeyote yule anayekubaliana na kumkabidhi Samia kwa Mungu ashughulike naye comments AMEN.