Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Dunia ya serikali kufanya biashara inazidi kuwa NYEMBAMBA.....Na hasa tatizo lilikua ni nini? na ukikodisha unaondoa tatizo la msingi au unaliahirisha?
je utakodisha kila unaposhindwa kusimamia? Kama hakukodishiki itakuaje?
Serikali imeshindwa kutelekeleza wajibu wake wa msingi. Imekosa dira. LAKINI hakuna wa kuiwajibisha.