Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Bunge la leo ni kumsifia Rais tu hakuna mpya CCM watakachofanya. Tujipange 2025 huu upumbavu usijurudie.
Unataka kuona WANAMTUKANA?!!!

Matusi si jadi yetu....

Uungwana ndio VAZI LETU....

#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]
 
Sasa hisia za kizalendo zisikujae?!!

Unaona kabisa taifa linakwenda kupata NUSU ya bajeti ya kila "fiscal year" kupitia DP WORLD....

#SiempreSSH
#MamaAnaupigaMwingi

Na juu ya hapo Bandari yetu inakuwa na unasaba na Dubai kama kule rongongoro mbugani . Pengine mtu akikatiza daraja la Nyerere ataona mnara ukisoma kwenye simu kingdom sultanese of Dubai investiment.
 
Mbowe yupo sahihi Rais Samia hana uchungu na Tanganyika.

Wewe bakia kulialia kama mwanamke anayelilia mapenzi.
 
Mwamba Mbowe ameliteka Bunge Kuhusu Tanganyika

Muda si mrefu Mbowe atalihutubia Bunge kupitia clip hiyo iliyohifadhiwa kwenye Simu ya mh Aida mbunge Pekee wa Chadema wa kuchaguliwa

Haijawahi kutokea tangu Uhuru
Inabidi Mbowe ampe Kitengo ndugu johnthebaptist pale Ufipani,maana siyo Kwa hii coverage anayowapa CHADEMA na viongozi wake
 
mbowe ndio kabisa hana uchungu na Tanzania.
mbowe mbaguzi, ana siasa za kikanda

mwenye chiki za wazi kwa wazanzibari
 
Kwanza mama kwann karuhusu hili kujasiliwa wakati anajua Kuna shida kwenye hili? TISS wanachekelea hawaoni madhara kwa Sasa it's non sense
Kuandika tu mtihani....[emoji1787][emoji1787]

Taifa liko salama bwashee...

Mama anaupiga mwingi [emoji120]
 
Unataka kuona WANAMTUKANA?!!!

Matusi si jadi yetu....

Uungwana ndio VAZI LETU....

#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]
We mzenji mkunanazi, katika hili sakata la uwekezaji wa Bandari nimegundua, Wazanzibari wanapenda sana Muungano kuliko Watanganyika.

Pia nimegundua Wazanzibari wana mapenzi makubwa kwa Wabara.

Mwakani nakuja kuoa mke wa pili Zanzibar.[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kuifupi mkataba huu ni wa milele kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…