Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Vipi pale bunge linapokuwa mgongea misumari jeneza la mgonjwa anayepambania uhai wake,je tuwaite wauaji/waombolezaji /wafiwa au ndugu wa mgonjwa🤔
 
Mbowe ni kama Ndugai, hawauelewi uwezo wa mama.

Wamuulize Majaliwa.

Sifahamu kwanini lakini nahisi Majaliwa yupo yupo tu, hana budi.
 
Naanza kupata mashaka na kinachoendelea leo Bungeni kuhusu makubaliano ya DP WORLD na serikali ya JMT , ambapo moja ya topic ngumu ni kuhusu jamaa kupewa/ kukodisha Ardhi.. ghafla nikakumbuka majuzi wazanzibar walitukumbusha kuhusu Ardhi yao Bagamoyo....yaani naona Zanzibar ikikusanya rent kwenye Ardhi yao ambayo DP world wataichagua ili waweke bandari kavu.
Yaani ikiwa hivyo wabara sijui mtafanyaje, manake mtakua mnapigwa nje ndani kama mechi za Europa.
 
Huyu Binti mweupe pembeni ya kigwangala mbona mzuri hivi? Anaitwa nani? Nipeni namba yake nikamie.
Screenshot_20230610-143502_Chrome.jpg
 
Waziri wa wizara ya uwekezaji, viwanda na biashara ameishia kusifia na kutaja mikataba mingine zaidi ya kinyonyajii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipoo.
 
Back
Top Bottom