Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

HIvi hawa wabunge wamewahi kukaa Zanzibar au Pemba na waka-experience ubaguzi uliopo huko.? Au wanaongea kwa mihemko tu.? Niliwahi kutamkiwa na Mpemba nikiwa chakechake kuwa hawanitambui sababu mimi si Mpemba. Ubaguzi upo Zanzibar na Pemba
 
Ivi huyu spika mbona amwambi Nape ajikite ktk kuchangia azimio na aio vinginevyo
 
Mwamba Mbowe ameliteka Bunge Kuhusu Tanganyika

Muda si mrefu Mbowe atalihutubia Bunge kupitia clip hiyo iliyohifadhiwa kwenye Simu ya mh Aida mbunge Pekee wa Chadema wa kuchaguliwa

Haijawahi kutokea tangu Uhuru
Nape kapandisha mpk mabega anataka kupaa
 
Sijui kama kweli hili mkuu ngoja tusubiri waje tuombe dili
STOCK-DP-WORLD-JEBEL-ALI-PORT_18138efba14_large.jpg

DpWorld Jebel Ali Port angalia hawa jamaa wanavyopiga kazi natumaini ndani ya miaka michache Dar Port itakuwa hivi.
 
Anapenda sana ubabe huyu kijana, atapata mwisho mbaya mliokaribu nae mwambieni hii nchi ni ya kidemokrasia atutolee mabavu yasiyo na kichwa
Huyu kichaa pamoja na yule February huwa wanadhani hii nchi ya kwao.
 
Kumbe sio kupewa madali yote ni sehemu tu ya badali, na serikali pia itamiliki sehemu kwa mjibi ya waziri.

Gati 8 hadi 9 gati ya magari hayako kwenye mkataba, hauna uhusiano na bandali ya tanga na mtwara.
Unawaamini?
 
Nape: Tuwaadhibu wote wanaotaka kuligawa taifa hili.


Hapa Nape anamaanisha kwamba watamshughulikia Mbowe? Ngoja tuone.
 
Nape ameshindwa kujibu hoja ya Mbowe kuwa kwanini bandari za Zanzibar kwanini hazijahusishwa? Nape alivyo mjinga eti wanapanga kumuadhibu Mbowe….mpuuzi huyu…

Nape ni mjinga kabisa kuwai kutokea eti anamtisha Mbowe hahaha
 
Back
Top Bottom