King smoker
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,002
- 675
Hilo sio Bunge ni Sinema zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pdf tayari sasa leta maoni yako.Nimesikia kuhusu mkataba wa DP world na Tanzania nimesikia ni mkataba wa milele kuna mtu anaweza kutuma pdf ya mkataba huo humu? Nataka kusoma mwanzo mwisho kiunaga ubaga
Hili swala shida yake ni kwamba litamwinua mno Mama na hivyo mahasimu wake wa Oktoba 2025 ndiyo wanaofanya jitihada za kuchanganya watu, hawajafurahi. Bunge zima haliwezi kupitisha kitu ambacho kina tatizo kwa nchiMungu aingilie kati suala hili, wabunge wetu hawatabiriki.
"Sasa akili yako ipo hivo"sasa akili yako yenyewe ipo hivo halafu mnauliza nani kawaloga,haya endeleen kumtafuta mchawi wenu
We nae walewale mikataba yote inayopelekwa bungeni ni kwa sababu haiendani na sheria za nchi so inapelekwa kule kwa watengeneza katiba (sheria).Hili swala shida yake ni kwamba litamwinua mno Mama na hivyo mahasimu wake wa Oktoba 2025 ndiyo wanaofanya jitihada za kuchanganya watu, hawajafurahi. Bunge zima haliwezi kupitisha kitu ambacho kina tatizo kwa nchi...
Bongo ni kawaida mambo haya... Refer issue ya Assad. Ukisimamia misingi yako ya kaz au kukataa kushiriki jambo flan lisilo na maslahi lazima uondolewe!!Hapa kijiweni kwetu kwa walalahoi tunapokunywa kahawa amekuja mgeni na kusema boss mkuu wa tiss aliondolewa ofisini kwasababu alikataa kabisa swala la waarabu kuuziwa bandari...
Nitachelewa kuamini hiliHili swala shida yake ni kwamba litamwinua mno Mama na hivyo mahasimu wake wa Oktoba 2025 ndiyo wanaofanya jitihada za kuchanganya watu, hawajafurahi. Bunge zima haliwezi kupitisha kitu ambacho kina tatizo kwa nchi
Ebu jiulize maswali haya. Kwani Serikali ya Mama ilikuwa anashindwa nini kuuingia mkataba huo kimya kimya tu kama ilivyowahi kuingiwa mikataba mingine kama vile ya SGR na ya Bwawa la Mwalimu Nyerere?
Kwa nini Serikali iamue kuingia mkataba usio na maslahi kwa nchi halafu wakati huo huo tena uipeleke Bungeni kwenda kujishtaki yenyewe? Ilikuwa inshindwa nini kuufanya bila kuupeleka Bungeni?
Tundu Lissu tayari ameshasema kuwa mkataba huu ni nyeti na ndiyo maana umepelekwa Bungeni, na baada ya hapo TL yuko kimya
Tutumieni akili ili tusiwe tunachanganywa na wanasiasa.
Kwa mkataba huu, Mama anatarajia kuwa anaingiza si chini ya TZS TRILLION 26 kwa mwaka kupitia Bandari peke yake, wakati sasa pato letu kupitia bandarini linakisiwa kuwa ni TZS TRILLION 2 (mbili) tu. Kwa kishindo cha aina hii, wewe mwenyewe utakuja kushuhudia ni nani atakayekistahimili kishindo hiki cha Mama come Oktoba 2025! Utaniambia ni nani atakayeweza kusimama na Mama
Kwa mtu uliye na mashaka au ambaye huelewi, it's the best approach kuchelewa kuamini!Nitachelewa kuamini hili
Hii ndio TZ ukiwa makin na maslah ya Taifa utapotea!Hapa kijiweni kwetu kwa walalahoi tunapokunywa kahawa amekuja mgeni na kusema boss mkuu wa tiss aliondolewa ofisini kwasababu alikataa kabisa swala la waarabu kuuziwa bandari ikabidi achague heshima kuliko kuingia kwenye historia mbaya sana ya kuuza nchi
Wazalendo tunawasihi jitengeni na Hawa mafisadi majina yenu yaandikwe kwa wino wa dhahabu