Yeye alifanya nini. Mabehewa yasiyo na mwenyewe, bomba la mafuta lililoelekezwa kwenye nyumbaNilisema Kuhusu Hii Bandari Ya Dar es salaam Lakini Hamkutaka Kusikia Na Hayo ndio Matokeo Yake. RIP Doctor Magufuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye alifanya nini. Mabehewa yasiyo na mwenyewe, bomba la mafuta lililoelekezwa kwenye nyumbaNilisema Kuhusu Hii Bandari Ya Dar es salaam Lakini Hamkutaka Kusikia Na Hayo ndio Matokeo Yake. RIP Doctor Magufuli.
Tofautisha familia yangu na TAASISIHata akiguswa mkeo au mwanao utakaa kimya?
Kati Yako na waliouza bandari yetu, nani anatakiwa ahofie kesi na JELA?
Kuna Wizara mnayoongoza Ina Ufanisi?Wakuu, nijulisheni. Kama tunaweza kuongoza Wizara, Idara nyeti na kubwa, tunashindwaje Bandari?
Bandari ina ukubwa kuliko wizara??
Tunawekeza kwenye ndege, reli. Bandari imekuwaje.
Nielewesheni mimi mkulima wa mihogo.
Kwahiyo na wizara tusaidiwe?Kuna Wizara mnayoongoza Ina Ufanisi?
Ndio zipo..Kuna Wizara mnayoongoza Ina Ufanisi?
Sijabahati kupata pdf la Mkataba uwo, kama unaounaweza kunisaidia pm?DP world watahusika katika kuweka mifumo ya bandari zote Tanzania
Eti Waarabu tayari pia wako mezani kujadili BRT? Inaaminika Mwarabu ni mzuri kwenye logistics kuliko races zingine zote.Kushirikiana kwa makampuni ya Simu duniani ni jambo la kawaida.
Hiyo picha haina mashiko. Sisi tunakomaa na ishu ya bandari tu wasiturushie habari ndogondogo za kututoa katika reli
Hata mimi concern yangu iko kwenye maudhui zaidi kuliko picha.Kushirikiana kwa makampuni ya Simu duniani ni jambo la kawaida.
Hiyo picha haina mashiko. Sisi tunakomaa na ishu ya bandari tu wasiturushie habari ndogondogo za kututoa katika reli