Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

1686949536712.png
 
Ni katika interview ya kimagumashi - gumashi hivi iliyoandaliwa (bila shaka na yeye mwenyewe Spika) kuzungumzia ishu ya mkataba wa uuzaji wa bandari za Tanganyika kwa waarabu wa DP World [Dubai]..

Amezungumza kidogo pia kuhusu wale wabunge 19 wa CHADEMA.

Mcheki vizuri huyo mwandishi na maswali yake anayouliza...

A puppet journalist. Yaani hana kaswali kamoja ka follow up baada ya swali kuu.

Hii nii ishara tosha kuwa kimama hiki kimeandaa kenyewe interview hiyo na kumpa maswali huyu bwana miwani ajifanye kuyauliza. Honestly ni maswali - desa haya maana hayamfanyi afikirie, hayana disturbance kwake...!!

Anyway, haijalishi sana. Lakini tunaweza kusema;

Hatimaye kinara wa bunge magumashi la CCM Spika Dr Tulia amejitokeza hadharani na kusema kuwa bunge bado halijapitisha Azimio la kuipa "go ahead" serikali kuendelea na utekelezaji wa makubaliano ya mkataba wa uuzaji wa bandari zote za Tanganyika za bahari na maziwa Kwa waarabu wa DP World..

Ni katika kujaribu kuuzima moto uliowashwa na umma kupinga mkataba huu wa kipuuzi..

Sasa Kila mtu anaweza kuelewa ni kwanini naibu Spika Zungu aliamua kuitisha mkutano wa wana CCM wenzake jimboni kwake na kwenda na rundo la makaratasi eti kujaribu kushawishi watu kuona kuwa mkataba huo hauna ubaya wowote.

Mtazame na msikilize mwenyewe ktk video hiyo☝️☝️☝️hapo juu..
 
Amepata shida kufanya shriki na waarabu

Tanganyika itamtafuna hawatafaidika kuiuza Tanganyika watapata mateso na majuto
Nakwambia nimeshangaa sana kukuta statement hii online toka Kwa mama huyu hatari kabisa Kwa nchi hii...
 
Watu wote huko Tanganyika atakaefanya shirki na waarabu kuuza nchi ataanguka kwa aibu

T
 
Back
Top Bottom