Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Kumbe nawewe umebaini eeehh....😂
Ndiyo nimembaini huyu ndugu yangu Pascal Mayalla

Huyu jamaa ni miongoni mwa "spinners" na mpiga propaganda Mkuu wa CCM...

He's some how very intelligent. Lakini kwa wenye akili kumzidi, utamgundua katikati ya maandishi yake kwani mtu ajaribuye kusuka uongo kwa lengo ovu, daima atajichanganya tu katikati ya uongo wake...
 
Kardinali Pengo ameuliza swali la msingi: Je, Serikali ijenge uwezo wa Watanzania kujiletea maendeleo au kutumia mataifa ya nje kuwaendeleza Watanzania?
 
Bunge letu ni DHAIFU by PR ASSAD.
 
Tulia anatufanya watanzania wajinga? ....siasa hizi yeye hawezi na wala hazimpendezi......angetulia tu historia itamhukumu tu ...kuuza bandari kumfurahisha SSH na Genge lake.....PM wamemruka dhambi itawatafuna wote......watanzania wajinga sana .....milele Amina.....ila 2025 tutaonaaa
 
Kipuuzi kabisa hiki kimtu kilichoamua kuwa kihagula kabla ya umri
 
Sio alienda Morocco kuhusu masuala ya dini??
Watanzania ni wajinga sana ndo maana twageuzwa geuzwa ka samaki.
Tumekalia majungu tu wakati Taarifa ipo kuwa Kaenda Kwenye Mjadala wa Kibunge wa Dini na picha zilioneshwa
 
Mkuu, naona kama una jambo unataka kusema lakini unapata kigugumizi...🤔
Halafu hatakiwi kuwa nacho kigugumizi kwa sababu "watoto wa nyoka" wanalindwa hawaguswi Hata wakisema ama kutenda tofauti na mtazamo wa haki wakiraia.

Aseme tu, "sheria mpya" na Katiba vinamlinda
 
Imeisha hiyo.

Kama nchi na wananchi hawaelewi chochote; Kama serikali itaforce basi matokeo yake yanaweza kuwa mabovu kabisa.

Serikali anzeni upya na muachane na mwarabu. Kama issue ni ile ya kupeperushwa kwenye lile jengo refu basi Samia aishie 2025 aingie Rais Mwingine asiye na makandokando hayo.
 
Wananchi Kwa ujumla tumekubali mkataba upo poa ni majizi machache yalihongwa na Kenya kuhujumu maendeleo ya Tanzania hasa mbowe na genge lake ndo wanaopiga kelele.
 
Issue siyo mwarabu! Issue ni mkataba mbovu. Hata kama angekuwa mzungu, mhindi, mchina au mjapani kwa mkataba huu HAPANA. Wabadilishe vifungu tatanishi maisha yaendelee. Wataalam wa sheria wameelezea vifungu hivyo lakini wana siasa wamekazana kutupigia ngonjera za wizi bandarini n.k. ina maana vyombo vyetu vya kulinda usalama wetu na mali zetu wameshindwa kabisa kuwadhibiti?

Hao wageni wakiamua kutuibia tutaweza kweli kung'amua na kidhibiti wizi. Tujipange tu upya, viongozi wayapokee mapendekezo ya wananchi waboreshe mkatabsa wajenge uwezo wa wananchi kitekeleza majukumu yao na walinzi wa mali zetu waongezewe uwezo!!
 
Sahihi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…