Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dr.Bashiru huyuhuyu ambaye "aliwezeshwa" kuwa KATIBU MKUU ikulu?!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bashiru hawezi kulingnishwa na huyu aliyetoka kuwa msambaza chai maofisi ya CCM hadi kuhongwa umakamu kisha kuupata ukuu wa nchi kwa kupewa?

Huyo aliyekutuma kuwa chawa, nikikuomba mtiririko wa elimu yake unaoeleweka unaujua?
 
Wakati ndugai aliposema maneno Yale mlishadadia sana nyie chadema na kuungana na kushinikiza sana na makundi kwa makundi mkawa mnachochea,
Je Leo kiko wapi?Acha wabunge waamue nyie subirini matokeo.Mama anaupiga mwingi.
Hana moral authority ndio maana tulimpinga, yeye ndio alikosoa mradi wa bandari Bagamoyo kivipi Tena asupport baada ya JPM kufariki? Huo ndio unafiki tunaoupinga.
 
Kama hujaelewa hutaelewa
Usilazimshe mawazo yako kwangu, wabunge wenyewe wanajikanyaga Mara Hakuna mkataba lakini bandari wanasema wamesign mkataba. Bado mengi yanakuja utayaona.
 
dp-world-vector-logo-2021 (1).png

Karibuni Wageni.
 
Alipoona akina mugabe wametawala kwa muda mrefu alijua nae atatimiza azma yake. Matokeo yakawa ndivyo sivyo sasa tunateseka na hii legacy yake.
 
Wengine wamechamba weee hawajakatishwa kwanini Mdee
Hizo zote ni Sinema tu. Mdee mwenyewe ametengenezwa ili ionekane kulikua na uhuru na ushindani kwenye kulijadili hilo.
Uhalali gani anaoupigania Mdee?
 
Ukweli ni kua Mh.Rais na timu yake ya uongozi chini ya CCM,wamefanya maamuzi safi wakati sahihi. Zilipigwa sana kelele kuhusu wawekezaji,mizigo kuchelewa bandarini na rushwa kuwepo bandarini.Kwa kiasi kikubwa naona sasa serikali ya awamu ya sita imefanya maamuzi sahihi ili kutatua matatizo tuliokua tumezoea.

Mwisho,wanasiasa wengi waliomba nchi yetu pamoja na serikali kufanya paradigm shift ya kutoka kwenye diplomasia ya kiasa (political diplomacy)kwenda kwenye diplomasia ya uchumi(economic diplomacy). Sasa Mama Samia Suluhu na serikali yake wamejua faida yake na kuanza kutekereza ilo lakini wanatokea watu wanaanza kupotosha. Sote tukiungana kwa pamoja na kushirikiana na serikali yetu uhakika kwa kupiga hatua kubwa hupo kwenye uchumi wa bandari yetu na uchumi wa blue.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Bashiru hawezi kulingnishwa na huyu aliyetoka kuwa msambaza chai maofisi ya CCM hadi kuhongwa umakamu kisha kuupata ukuu wa nchi kwa kupewa?

Huyo aliyekutuma kuwa chawa, nikikuomba mtiririko wa elimu yake unaoeleweka unaujua?
Hana vyeti ?!!!

Hana elimu ?!!!

Unataka awe profesa ili kuwa Rais ?!!!

Tunao wengi hapo UDSM tuwafanye wawe marais basi.....

Chuki yako inauviza tu moyo wako....

Elimu ya mama inajulikana na kila mmoja wetu....yeye si mhandisi wala daktari wa binadamu......

Hivi ujinga utawatoka lini ?!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamani eeh, mimi natoka kidogo. Likishapitishwa hili naomba mnistue nianze kunywa bia hukohuko nitakapokuwepo.
Halafu tukimaliza hili tugeukie Mwendokasi na SGR.
Mwendokasi hadi inatia huruma, zile barabara zimeshaanza kuota majani, vituo vimeshachakaa, mabasi nayo yapoyapo yanatangaza biashara.
 
Back
Top Bottom