Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

SGR wameshaanza kushusha mabehewa ya ghorofa second hand toka Ujerumani 😂😂

Bado tunayasubiri yale mapya ya Korea
Watanzania ni watu hovyo sana. Hawana utashi wowote wa kusimamia mambo yao, bora tuuze tu kila kitu nina uhakika ukodishaji na uuzaji utaleta maendeleo.

Yaani mijitu isivyo na akili imekalisha makalio yao inafuatilia bunge ingetegemea kuna kitu bunge litafanya? Yaani mijitu hii ilivyo hovyo mara hii imeshasahau hilo bunge linajengwa na wabunge waliofikaje hapo walipo?

Hii tabia ya kuona kila jambo ni jipya ndiyo inalemaza hili taifa. Hawajui haya yote yalishapugiwa hesabu kabla hata ya uchaguzi ndiyo maana lilihitajika bunge na viongozi wa aina hii?
 
Kikubwa Watanzania jifunzeni kuongea kwa research, sio kwa mihemko na ushabiki.
Fuatilia kwa umakini ujue, elewa na ufahamu kwanza.

Elimu duni ni mzigoo
Nyumbu wanawategemea wafuatao :
1: Godbless lema
2: Aikael Mbowe
3:Tundu lisu
Namba 1& 2 elimu dunia ni ndogo sana hivyo wanaishi kwenye siasa za matukio ,namba 3 anayo elimu dunia ila anamihemoko kama vijana wengine ambao hawakuwahi kupata Elimu dunia
 
Usinilishe maneno ndugu, nimesema Samia yuko smart sana upstairs tena kuliko yule professa mtaalamu wa sheria na mambo ya "kanyaboya" Mr Magamba Kadubi.
Tatizo la Prof.Kabudi ni kupenda sana kuwekeza katika "HISIA" kumbe mambo mengine ya DUNIA huendeshwa KIUHALISIA.....

Ni aina ya wale wasomi wanaoishi dunia kuzichonga ndimi zao ili waonekane bora katika fani ya kuongea mbele za watu.....[emoji1787][emoji1787]
 
Ina maana haya mabadiliko yalishindwa kufanyika kwenye uongozi wa uliopo sasa?

Kupunguza muda wa kukaa nangani, hili nalo tulishindwa kuli manage kweli?
Na hasa tatizo lilikua ni nini? na ukikodisha unaondoa tatizo la msingi au unaliahirisha?
je utakodisha kila unaposhindwa kusimamia? Kama hakukodishiki itakuaje?

Serikali imeshindwa kutelekeleza wajibu wake wa msingi. Imekosa dira. LAKINI hakuna wa kuiwajibisha.
 
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.



======

Leo Juni 10, 2023, Bunge la Tanzania linatarajia kujadili mkataba kati ya Serikali na Kampuni ya DPWorld unaodaiwa kutotaja ukomo kuhusu Ushirikiano katika Uendeshaji, Uendelezaji na Uboreshaji wa Bandari zote za Baharini na Maziwa zilizopo Tanzania Bara

Mkataba umeibua maswali ambayo hayajapatiwa ufafanuzi wa kina ikiwemo thamani na muda wa uendeshaji pamoja na sababu za Tanzania kuingia mkataba na kampuni inayotajwa katika kesi za ukwepaji kodi na migogoro katika utekelezaji mikataba huku baadhi ya Nchi zikiikataa kampuni hiyo.

Je, unaufahamu kiasi gani Ushirikiano wa DP-World na Bandari?

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anawasilisha Pendekezo la Kuridhiwa kwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anawasilisha Pendekezo la Kuridhiwa kwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini, leo Juni 10, 2023

UTOAJI HUDUMA HAUJAFIKIA VIWANGO VINAVYOTAKIWA KIMATAIFA
Prof. Mbarawa amesema: "Pamoja na kuchukua hatua mbalimbali za maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam, bado ufanisi katika utoaji Huduma za haujafikia viwango vinavyotakiwa kimataifa.”

“Hali ya sasa ya utendaji imeendelea kuwa ya kiwango cha chini ikilinganishwa na Bandari shindani kikanda. Kwa mfano, wastani wa meli kusubiri nangani kwa Bandari ya Dar es salaam ni Siku 5 ikilinganishwa na Siku 1.25 kwa Bandari ya Mombasa na siku 1.6 kwa Bandari ya Durban.”

"Ufanisi mdogo wa Bandari ya Dar umetokana na changamoto ikiwemo kukosekana kwa Mifumo ya kisasa ya TEHAMA, maeneo ya kutosha ndani na nje ya Bandari kwa ajili ya kuhifadhia shehena, Maegesho ya Meli, mitambo ya kutosha na ya kisasa ya kuhudumia shehena ambayo ina gharama kubwa ya Uwekezaji.”

“Meli kutumia muda mrefu kupakia na kupakua shehena gatini kwa wastani wa Siku 5 ikilinganishwa na Siku 1 inayokubalika Kimataifa, pamoja na Meli kubwa kutokuja katika Bandari ya Dar kutokana na kuchukua muda mrefu kuhudumiwa

MSINGI WA MKATABA HUU KUENDANA NA MIKATABA
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amesema Mkataba wa DP World kuendesha Bandari utakuwa hai mpaka pale ambapo shughuli za Miradi zitasitishwa au kuisha kwa muda wa Mikataba ya Nchi mwenyeji na Mikataba ya miradi

Amesema "Msingi wa Mkataba huu kuendana na Mikataba ya miradi ni kutokana na kwamba unaweka msingi unaowezesha kuingia na kutekelezwa kwa Mikataba 10 Nchini."

KAMPUNI YA DP WORLD INA UZOEFU WA KUENDESHA BANDARI BARANI AFRIKA
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi amesema Kampuni ya DP World ina uzoefu katika uendeshaji wa shughuli za Bandari Barani Afrika, Asia, Ulaya na Amerika ya Kaskazini na Kusini

Amesema "Baadhi ya Kampuni zilizowasilisha nia ya kuwekeza Bandarini hazina wakati Kampuni ya DP World inaendesha takriban Bandari 6 Afrika na Bandari zaidi ya 30 Duniani kote kwa ufanisi mkubwa.”

DP WORLD INATAKIWA KUENDELEZA AJIRA ZA WATUMISHI WALIOPO
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema “Uwepo wa ajira za Watanzania hususani Watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam ni kipaumbele kikubwa cha Serikali sio tu katika Azimio hili bali katika kila aina ya uwekezaji ambao Nchi itaufanya.”

Amesema “Ibara ya 13 ya Mkataba huu inaitaka DP World kuendeleza ajira za Watumishi wote waliopo, kuwaajiri Watanzania pamoja kuwaendeleza kitaaluma.”

Passed!!🚶🚶🚶🚶
 
Salute,hbr ya leo,bunge la leo, wabunge woote hoja zao ni suti,zinafanana zoote,toka mchangiaji wa kwanza mpk mda huu saa saba na nusu,ni halima mzee tu ndio katilia mashaka mkataba huu.

Wengine woote ni kusifu,bkupongeza na kuunga mkono hoja. Sijui huyu mungu wao leo kawaanbia nini?

Kiufupi kamati ya ufundi ya DP imemaliza kazi.
 
Tulikuwa tumegubikwa na chuki za Kitanganyika.
[emoji1787][emoji1787]
Niliweka uzi humu ndani kuhusu chuki za "kitanganyika"...nikaishia kutukanwa matusi yote mpaka kuambiwa mimi ni mzanzibari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Duuuh yaani Mnyaki mimi muungwana leo napelekwa Chokocho Pemba badala ya kwetu ziwani Matema Beach Kyela ?!!![emoji1787]
 
Tanganyika ni nchi ya mambwa, yaani tunaendeshwa na hila za mashoga na wasagaji kwa kizanzibari huu upumbavu gani huu? Mmeruhusu TISS iwe chini ya mzanzibari seriously. Mabadiliko ya TISS yamezaa uhuni wa kushoga kuhusu Bandari mkimpa nguvu Rais mzanzibari ndio madhara yake hayo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Umekunywa "shengena"?!!!

Ni mbandandu ?!!!

Unaitaja TISS na kutuaminisha visivyopo....[emoji1787]

Huna adabu juu na nafsi yako ya ndani leo tushangae kumkosea adabu Amiri Jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalama ?!!!

UKO USINGIZINI
 
Nachekaa km chizi hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kwa wabunge hawa, bandari imeshauzwaaa.

Mnyonge nyongeni haki yake apewe leo wengi wao wamechangia kwa hosia za Kizalendo pamoja na kwamba bado mila na desturi za Bunge zina wa bana.

Makofi ya na pigwa ya kutosha. Labda wangefikiriwa uwezekano wa alawansi ya makofi.
 
Kuweni specific ajira zipi za Watanzania zitakazo lindwa ili ieleweke. Kwa wafanyakazi wa PTA ukweli ni kuwa panga kubwa linakuja. Muwekezaji analeta mifumo ya kisasa. Mifumo yote ya kisasa ni robots oriented. Kazi ya watu 100 ni robot 1 tu pengine na operator mmoja.

Suala la kusema anakusanya mizigo mingi ni mjinga tu anaye weza kudhania ni lazima hiyo mizigo apitishie DSM. Huyu anatafuta na bandari za Kenya akisha pata mjue mtagawana hiyo mizigo. Hao mnao waita washindani ambao walikuwa wanapitisha mizigo hapa kwetu kabla hatujafungamana na DP wanaweza wasipitishe mizigo yao DSM. Yako mambo mengi mno ya kufikirisha si rahisi/mteremko.
Punguza kuvuta bange



P
 
Watanzania ni watu hovyo sana. Hawana utashi wowote wa kusimamia mambo yao, bora tuuze tu kila kitu nina uhakika ukodishaji na uuzaji utaleta maendeleo.

Yaani mijitu isivyo na akili imekalisha makalio yao inafuatilia bunge ingetegemea kuna kitu bunge litafanya? Yaani mijitu hii ilivyo hovyo mara hii imeshasahau hilo bunge linajengwa na wabunge waliofikaje hapo walipo?

Hii tabia ya kuona kila jambo ni jipya ndiyo inalemaza hili taifa. Hawajui haya yote yalishapugiwa hesabu kabla hata ya uchaguzi ndiyo maana lilihitajika bunge na viongozi wa aina hii?

Hata mimi huwa sielewi watu hupata wapi muda wa kufuatilia bunge la CCM?

Spika alishazungumza kwamba bunge siku zote litaunga mkono juhudi za Rais, na kuna wakati fulani ashawahi kusema bunge lipo chini ya mamlaka ya Rais...

Sasa iweje leo mambo yabadilike...
 
Hata mimi huwa sielewi watu hupata wapi muda wa kufuatilia bunge la CCM?

Spika alishazungumza kwamba bunge siku zote litaunga mkono juhudi za Rais, na kuna wakati fulani ashawahi kusema bunge lipo chini ya mamlaka ya Rais...

Sasa iweje leo mambo yabadilike...
Watanzania ni vilaza. Wakienda kulala wakiamka akili zinakua zime flash ndiyo maana hawana continuity
 
Waitara anafufua madudu ya Chama chake kuficha mikataba, hata huu mkataba wanajadili walichoelekezwa na mkuu wao wa nchi kwakua tu lilipamba Moto mitandaoni. Nitaandamana kupinga huu mkataba hata peke angu
 
Back
Top Bottom