Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Hao wabunge naona wanatuoa watz wore hatuna akíli. Sijaona hoja nyeti inayojadiliwa .

Tunasubiri kuingia barabarani Hadi kieleweke
Nimeshawahi kushauri humu kwamba kwa hatua lilipofikia suala hili, Watanganyika wanatakiwa Kuanzisha MKAKATI MAALUMU NA WA DHARULA WA "KUZIHAMI" BANDARI ZA TANGANYIKA pamoja na Rasilimali nyinginezo za Tanganyika. Suala hili linatakiwa lifanyike mara moja bila ya kuchelewa.
 
Na hasa tatizo lilikua ni nini? na ukikodisha unaondoa tatizo la msingi au unaliahirisha?
je utakodisha kila unaposhindwa kusimamia? Kama hakukodishiki itakuaje?

Serikali imeshindwa kutelekeleza wajibu wake wa msingi. Imekosa dira. LAKINI hakuna wa kuiwajibisha.
Umeandika kitu kikubwa sana
 
Naona umuhimu wa wapinzani kuwapo bungeni, Magufuli umetuletea balaa kwa kupitisha pitisha wabunge wa ccm kwa mabavu
Hili ni mojawapo lilifanya nione JPM hakua na nia njema kuwachukia wapinzani hasa bungeni!!
 
Sasa mbona nyakati hizo (2016 -2020) uliiogopa JF kama ukoma!
Nani ambae hajaogopa, maisha yaje kipindi hicho? Labda msiba tu.

Max mwenyewe alkioata fresh.

Wewe pia uliingia mitini, cheza na udikteta.

Miaka hiyo ilikuwa kama miaka ya mchinga ulipoibuka usemi wa "kuchekea chooni".
 
Hapo vip!!
Sitaki niongee maneno mengi kuhusu huu mkataba wa Dp world na mambo ya loliondo,kwasababu mambo mengi yamewekwa wazi dhidi ya ubaya wake kwa watanzania.

Kwasababu samia hataki kusikiliza maoni,madai na malalamiko ya watanzania wanyonge basi kupitia andiko hili watanzania wanyonge tunamkabidhi Mungu malalamiko yetu na tuna imani atatujibu kwa haraka.

Unapuunza maamuzi ya watanzania wengi ukijiona wewe una akili kuliko wao,hakika umejidanganya sana.

Naomba yeyote yule anayekubaliana na kumkabidhi Samia kwa Mungu ashughulike naye comments AMEN.
 
Hana vyeti ?!!!

Hana elimu ?!!!

Unataka awe profesa ili kuwa Rais ?!!!

Tunao wengi hapo UDSM tuwafanye wawe marais basi.....

Chuki yako inauviza tu moyo wako....

Elimu ya mama inajulikana na kila mmoja wetu....yeye si mhandisi wala daktari wa binadamu......

Hivi ujinga utawatoka lini ?!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna cha maana ulichoandika hapa zaidi ya michambo na taarabu, hii sio sehemu ninayoiweza hivyo nachagua kukupuuza.
 
Kwa hizi kauli zake hapa mwisho basi hili bunge ni takataka tu.

Eti bunge ni la CCM na hakuna mbunge anaeweza kupinga hoja ya mama samia?

Hili bunge ni takataka kabisa.
Matokeo ya uchafuzi wa Mwaka 2020 ndio hayo...
 
Back
Top Bottom