Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

IMG_1250.jpg


Huyu dada anaupiga mwingi sana, anaongea point sana.
 
Kuweni specific ajira zipi za Watanzania zitakazo lindwa ili ieleweke. Kwa wafanyakazi wa PTA ukweli ni kuwa panga kubwa linakuja. Muwekezaji analeta mifumo ya kisasa. Mifumo yote ya kisasa ni robots oriented. Kazi ya watu 100 ni robot 1 tu pengine na operator mmoja.

Suala la kusema anakusanya mizigo mingi ni mjinga tu anaye weza kudhania ni lazima hiyo mizigo apitishie DSM. Huyu anatafuta na bandari za Kenya akisha pata mjue mtagawana hiyo mizigo. Hao mnao waita washindani ambao walikuwa wanapitisha mizigo hapa kwetu kabla hatujafungamana na DP wanaweza wasipitishe mizigo yao DSM. Yako mambo mengi mno ya kufikirisha si rahisi/mteremko.
Umeandika mazuri ya kufikirisha...

Ila....

Tunywe supu kwanza nyama tutazikuta huko chini.....
 
Kwa watanzania gani? hawa? Kwa akili za wengi wanaona hilo la bandari haliwahusu.
Kuna nchi hazitaki ujinga na watawala, siyo Tz. Na CCM wanawajua vizuri, wanaweza kuiuza nchi yote na watanzania wakatulia tuli. Hata hili utaona litakavyopita kimya.
 
Watanzania wengi haswa vijana Wana Sifa hizi:

  • Wavivu wa kusoma.
  • Wagumu kuelewa.
  • Wepesi kufanganyika
  • Fuata mkumbo.

Leo wakuelewa wataelewa.
Na sifa zote nne ukizichanganya zinawafanya washikwe masikio kirahisi sana, wanadanganyika hovyo tu.
 
Sibishani na mjinga mmoja , najua nini nasema mbele Mungu ,na sio kwa binadam mwenzangu ambae najua wote tufukiwa siku moja na kila mtu kwa mda wake ,pumbavu
Wewe ndio unamjua Mungu sana zaidi ya WENGINE?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Haya mkuu kwani "ulevi" uko wa aina nyingi.....
 
Hapo vip!!
Sitaki niongee maneno mengi kuhusu huu mkataba wa Dp world na mambo ya loliondo,kwasababu mambo mengi yamewekwa wazi dhidi ya ubaya wake kwa watanzania.

Kwasababu samia hataki kusikiliza maoni,madai na malalamiko ya watanzania wanyonge basi kupitia andiko hili watanzania wanyonge tunamkabidhi Mungu malalamiko yetu na tuna imani atatujibu kwa haraka.

Unapuunza maamuzi ya watanzania wengi ukijiona wewe una akili kuliko wao,hakika umejidanganya sana.

Naomba yeyote yule anayekubaliana na kumkabidhi Samia kwa Mungu ashughulike naye comments AMEN.
achana na mambo ya Mungu, hapa ni physical confrontation
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbunge wa mkoa wangu msongoziii, anapuyangaaa hadi aibuu, huyo baba wa pembeni yake anatamani kucheka ila anajizuia tyuuh.

Anatia aibu huyu, na hilo dela lake ya buku teni, mxxxxiiiiiieeeeewwwww!!

Ubunge viti maalumu ufutwee, aibu hii sasa. Khaaah
Uchaguzi ujao kalichukue hilo jimbo shostito.....[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa watanzania gani? hawa? Kwa akili za wengi wanaona hilo la bandari haliwahusu.
Kuna nchi hazitaki ujinga na watawala, siyo Tz. Na CCM wanawajua vizuri, wanaweza kuiuza nchi yote na watanzania wakatulia tuli. Hata hili utaona litakavyopita kimya.
Unachosema ni kweli kabisa.
Lakini Waingereza Wana msemo wao kwamba" there is more than one way to skin a cat"
 
Back
Top Bottom