Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Watanzania ni watu hovyo sana. Hawana utashi wowote wa kusimamia mambo yao, bora tuuze tu kila kitu nina uhakika ukodishaji na uuzaji utaleta maendeleo.

Yaani mijitu isivyo na akili imekalisha makalio yao inafuatilia bunge ingetegemea kuna kitu bunge litafanya? Yaani mijitu hii ilivyo hovyo mara hii imeshasahau hilo bunge linajengwa na wabunge waliofikaje hapo walipo?

Hii tabia ya kuona kila jambo ni jipya ndiyo inalemaza hili taifa. Hawajui haya yote yalishapugiwa hesabu kabla hata ya uchaguzi ndiyo maana lilihitajika bunge na viongozi wa aina hii?
Mkuu vipi huko kwenu Kenya wabunge wake wakoje katika uchambuzi wa mambo ?!!
 
Mh Aida anapambana na spika kuhusu maneno ya Mbowe
Chinekeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kumekucha Spika anataka clip isikilizwe,[emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu,

Mh Mbowe anahutubia now! Tumsikilize.

Video yake itachezwa akifafanua mkataba huu tunaopigia kelele. Mh Spika ameruhusu sauti yake iwekwe bungeni.

Tumsikilize Mwamba.
 
Nyumbu wanawategemea wafuatao :
1: Godbless lema
2: Aikael Mbowe
3:Tundu lisu
Namba 1& 2 elimu dunia ni ndogo sana hivyo wanaishi kwenye siasa za matukio ,namba 3 anayo elimu dunia ila anamihemoko kama vijana wengine ambao hawakuwahi kupata Elimu dunia
HUU NI MCHANGO WA DHAHABU HASWAA[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
 
Spika mbona analeta mambo ya kijiweni bungeni.

Hawezi deal na mihemko bungeni
 
Hapo vip!!
Sitaki niongee maneno mengi kuhusu huu mkataba wa Dp world na mambo ya loliondo,kwasababu mambo mengi yamewekwa wazi dhidi ya ubaya wake kwa watanzania.

Kwasababu samia hataki kusikiliza maoni,madai na malalamiko ya watanzania wanyonge basi kupitia andiko hili watanzania wanyonge tunamkabidhi Mungu malalamiko yetu na tuna imani atatujibu kwa haraka.

Unapuunza maamuzi ya watanzania wengi ukijiona wewe una akili kuliko wao,hakika umejidanganya sana.

Naomba yeyote yule anayekubaliana na kumkabidhi Samia kwa Mungu ashughulike naye comments AMEN.
Machozi ya nini unalia dada umekosa mme

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom