Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Nimeona wabunge wetu wa CCM walivojadili hili swala, ni kama nchi inaelekea Caanan baada ya DP World ku take over....

Estimation ni 62% ya national budget itoke bandarini.... ukweli ni kwamba time is going to prove you very wrong..

If at all DP World wangekuwa na msaada sana kwenyr kuendeleza na kukuza mapato ya Bandari.. Djibout, Pakistan, India, Ethiopia, na Angola zingekuwa mbali sana kiuchumi..

Sio hivo tu, mkataba wenyewe hausemi Tanzania itapata nini, tumekaa kungangania mikataba ijayo, lakini mkataba huu hauonyesh kwama Tanzania itapata nini kwenye uwekezaji huu.

Imefika mahali, Spikq tulia anasema hii sio ubinafsishwaji bali ni uwekezaji... kindly confused and blurred with her arrogance.

Hoja za tahadhari zote zimetupwa na hakuna aliekuwa tayari kusikiliza... watanzania hawa ni kama hawajui nini kitafuata, tumebaki kushabikia Mpira na nchi tumewachia wengine wamue kwa niaba yetu.

Wanaoamua wana shutuma nyingi za kupenda kupokea rushwa na pesa ndogo ndogo na wengine kupewa assets ndogo ndog na wengine magari, hizi hisia sio za kupuuza hasa katika kipindi hiki nchi inayopita katika miradi mikubwa na haya ya uwekezaji kutoka nje ya nchi yetu.

Heshima sio kitu cha bure, respect is earned.

Watanzania tunapoelekea ni kama vizazi vijavyo vitakosa uhuru wa mali katika nchi yao, wengi watakuwa manamba na wafanyaji wa kazi za hovyo kutokana na aina ya Elimu inayolatikana nchini.

Tusubiri tuone, lakini wakati tubasubiri, angalau tudai katiba mpya pengine ikatutoa hapa tulipo.
 
Niliona pahala manufaa yatakuwa makubwa sana kufikia 2032, labda tutakutwa tumeamka tukapata na upeo wa kuanza nao kesi. Maana lazima kuna pahala hapako sawa, iwe isiwe lazima hapako sawa yaani panamiminika siyo tu kuvuja.
 
Hivi ulimsikiliza Nape leo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilibaki kuduwaa, anamtisha mbowe wazi wazi.

Hana hata hoja, zaidi ya vitisho na kupovukwaa. Mweeh
Kwa kweli ni aghalabu kusikiliza hotuba za hao walamba asali.
 
Mbona viti vipo tupu WABUNGE Wameenda wapi? Au wamewaacha darasa la Saba ndio Kila siku wanaongea na kukandya wasomi?
Watakuambia walikuwa wanafamilia kupitia vishkwambi vyao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ajira za Bandari, na katika kuiendeleza maanake wataitanua ili ikidhi volume hapo tena kutakuwa na ajira nyingine.
Kama mnafikiri kutakua na ajira za kubeba Ndwika basi hilo sahauni. Pale ni mwendo mashine na remote tu kama vile unacheza game.
Watanzania wanatakiwa wajielekeze kwa Bashe wakarambe mchongo wa block farming, siyo bandarini.
 
nchi inakwenda kua kitovu cha biashara ni muda vijana kujikita katika biashara kwani badae mabilionea wengi wakubwa watajengeka hapa
Lakini kama zitaendelea kufujwa kuibiwa kwa kiwango hichi huku ripoti ya CAG ikipuuzwa sioni future
 
Naunga mkono mkataba huu, ni mkataba wa kimkakati, kuna vifungu viwili virekebishwe

1: Muda, labda uwe wa miaka 33, baada ya miaka 33 ikiwa mkataba utaenda vizuri tuongeze tena muda.
2: Kifungu cha kuvunja mkataba, kuwe na provision ikiwa kuna sbb kubwa na ya msingi mkataba tunaweza kuuvunja

Mengine yote ni mazuri, manufaa ni makubwa sana.

Hongera sana Mh. Rais wetu, Mama Samia
Muda ni milele....
 
Back
Top Bottom