PiedPiper77
Senior Member
- Jan 8, 2025
- 146
- 196
Hahahahaha kwa Hawa wanywa visungura??
View: https://www.youtube.com/live/3eUZr56l98U?si=Ri2UPJYSDc5O1vN2
Tuache Kudanganyana Mbowe hawezi kushinda huu Uchaguzi tuweni wa kweli na Mungu atatubariki Mbowe hatakiwi kabisa.
Mjumbe hata kama utapewa pesa toka CCM ili umchague Mbowe usifanye hivyo utakiua chama.
Lissu mshindi kitambo sana

Jamaa ana watu sanaDuh bas lissu apewe kiti chake sasa
Mbowe akirudishwa kwa namna yoyote ile, itakidhoofisha chama na kuacha ufa mkubwaKwa hali ilivyo na mnyukano uliopo ni wazi Mh. TL anaenda kushinda otherwise Mbowe aibe kura mana kama angekuwa na wafuasi kama wa Lissu wangejibu mapigo tu.
Abalikiwe sanaJamaa ana watu sana
isomeke: abarikiwe sanaAbalikiwe sana
AMINAisomeke: abarikiwe sana
Hao unaowatukana ndio wajumbe wapiga kura.Hahahahaha kwa Hawa wanywa visungura??
hizo pesa wachukue wale, kura kwa lissu, imeisha hiyo
View: https://www.youtube.com/live/3eUZr56l98U?si=Ri2UPJYSDc5O1vN2
Tuache Kudanganyana Mbowe hawezi kushinda huu Uchaguzi tuweni wa kweli na Mungu atatubariki Mbowe hatakiwi kabisa.
Mjumbe hata kama utapewa pesa toka CCM ili umchague Mbowe usifanye hivyo utakiua chama.
Endeleeni kulishwa matangopori na huyo mhuni wenuHao unaowatukana ndio wajumbe wapiga kura.
Mbowe alishafika bei ndo maana kutwa kucha anamsifia Mama Abdul