DODOMA: CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamkataa kata kata Mbowe wasema Kwa sasa ni Lissu Wanakuwa ni Mkoa wa 20 kutoa azimio hilo kati ya Mikoa 31

DODOMA: CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamkataa kata kata Mbowe wasema Kwa sasa ni Lissu Wanakuwa ni Mkoa wa 20 kutoa azimio hilo kati ya Mikoa 31

Endeleeni kujitekenya tu , tar 21 TAL anapigwa za uso......Kati ya wajumbe 1320 waliojitokeza kumsupport TAL hadharani hawazidi 60.
 
Endeleeni kulishwa matangopori na huyo mhuni wenu
Kwani alisema nini ccm kirumba? Tuliokuwepo tulishangazwa sana na maneno aliyotamka kwa kinywa chake.
Pili, mara ngapi anamsifu mwenyekiti wa ccm huku watu wetu wakitekwa,wakiumizwa na kuuawa?
Amedebweda sana na sio bure, atakuwa karamba asali.
Mbowe wa juzi sio huyu wa sasa
 
Back
Top Bottom