Dodoma city photo

nasikia wamekabiziwa wazee wa kuvuruga manispaa ya jiji la Dodoma kutoka CDA iuliwe. Subiri kusikia MTU kapewa kiwanja katikati ya barabara
Duuhhhh CDA ilijitahidi lakini... mimi nilifurahia maana Dom kwa kiasi kikubwa inaendelezwa mbali na mji wa zamani. Kama mapichapicha yameanza napo sio poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli tuache utani, Dodoma inakuja juu jamani....ila inaweza ipita Mwanza kwa majengo marefu tuu ambayo mengi ni politically ila kwa population na kupanuka Dodoma haiwezi kamwe kuipita Mwanza....Mwanza ni nouma bhana kanda ya ziwa yote inakimbilia Mwanza....
 
Watu wengi humu ndani wana matatizo ya kuona mbali. Vision zao hazizidi mwaka.
 
hyo ni angle tu ya picha zangu mtaalam.. na uwezo wa camera yangu. ukweli ni kuwa mji huu unaendelea kwa kasi sana japo kwa sasa ofcourse huwezi linganisha ni likes of Dsm na Mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
hizo ni siasa mkuu Dodoma mjini kuimaiza unatumia SAA tano kwa gari haijapanuka vya kutosha
 
Jengo refu Dodoma kwa sasa linagorofa 15 na nisababu ya kuwa kuna bonde LA ufa Dodoma


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jengo refu Dodoma kwa sasa linagorofa 15 na nisababu ya kuwa kuna bonde LA ufa Dodoma


Sent using Jamii Forums mobile app
hata mijengo ya gorofa 5 yakuesabu nasikia hakuna hoteli ya gorofa 5 kabisa mwisho gorofa tatu tena flow ya chini wamekodisha frem kwa ajili ya maduka na benki
 
Hivi kwenye mitandao huwa wagogo hawamo watete kwa nguvu mkoa na jiji lao maana watu wa mikoa mingine wanashambuliaaa hata sion defend ya kutoka dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wagogo wazembe kazi yao Kunywa pombe ya mtama na choya. Mgogo akishapata hela kama 100k lazima aache kazi mpaka hela iishe ndio arudi tena kufanyakazi
 
We shombo kweli yaani huko kwenye ukame pampite nan...eti baada ya miaka 5😝😝😝😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…