Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Duuhhhh CDA ilijitahidi lakini... mimi nilifurahia maana Dom kwa kiasi kikubwa inaendelezwa mbali na mji wa zamani. Kama mapichapicha yameanza napo sio poanasikia wamekabiziwa wazee wa kuvuruga manispaa ya jiji la Dodoma kutoka CDA iuliwe. Subiri kusikia MTU kapewa kiwanja katikati ya barabara
Sent using Jamii Forums mobile app