Unachekesha aisee...Mwanza iliyozungukwa na Ziwa bado kuna shida ya maji ππ.Kati ya maji ya Dodoma na Arusha yapi yenye chumvi....umewahi kumwona mtu yeyote wa Dom ana meno au fizi za rangi kama wale wa ArushaππDodoma maji ni shida ..na Maji unayopata yamejaa chumvi ..maji ya dodoma hayafai kufulia nguo Wala kunywa ..labda kumwagilia mchicha ....hovyo kabisa
Sasa kwani Mimi naishi wapi?! Huko huko ndo nyumbani na sijawahi sikia adha ya maji abadaniNenda kule maeneo ya unga limited alafu utapata jibu
Five star hotel hiyo chekinaomba Five Star hotel za Dodoma... nipatie Ghorofa kama ile ya Ngorongoro tower na PAPU kwa upande wa Dodoma ni zipi...?! ukumbi wa mikutano kama ule wa AICC upande wa Dodoma... makusanyo ya TRA, upande wa GDP, Makazi mazuri ya Arusha...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
ππwengine wanakwambia Dom hakuna maghorofaDodoma hakuna Maji ππ
π―π―
Hii ni white elephant project Dom hakuna potential yoyte au uhitaji wa kujengewa Five star hotelFive star hotel hiyo cheki
Unachekesha sana aisee private investor gani anaweza kuwekeza kwenye white elephant project...ππHii ni white elephant project Dom hakuna potential yoyte au uhitaji wa kujengewa Five star hotel
Arusha na utalii wote tu Bado mahotel hayajai ije kuwa Dodoma?Unachekesha sana aisee private investor gani anaweza kuwekeza kwenye white elephant project...[emoji38][emoji38]
Kwa kukusaidia tu Best Western Hotel ni moja kati ya top brands kwenye sekta ya Hoteli na utalii duniani [emoji116][emoji116]
Best Western Hotels | Exceptional Value | Book Now and Save
Around the world, stay at a Best Western hotel and enjoy a comfortable room at an exceptional value. Find a Best Western hotel today.www.bestwestern.com
Kwanza asikudanganye hiyo sio nyota 5 ni nyota 3Arusha na utalii wote tu Bado mahotel hayajai ije kuwa Dodoma?
kusoma hujui hata picha huoniππKwanza asikudanganye hiyo sio nyota 5 ni nyota 3
Acha uongokusoma hujui hata picha huoni[emoji3][emoji3]
Kusoma hujui hata picha huoni.Nakuongezea na zingine tenaππAcha uongo View attachment 2695899
Ningeshangaa mzee mana Arusha japo Kuna ishu zaa utalii lakini Bado hotel enywe hazijai ijekuwa dodoma[emoji1787][emoji23]Kwanza asikudanganye hiyo sio nyota 5 ni nyota 3
Kusoma hujui hata picha huoni.Nakuongezea na zingine tenaππ
Huyu mama anahangaika sana ....badala ashughulikie uhaba wa madawati nchini....huo uwanja faida yake nnUwanja wa Mashujaa Dodoma
Toa upumbavu wako hapa, Madawati yalimshinda Mwendazake sio Samia.Huyu mama anahangaika sana ....badala ashughulikie uhaba wa madawati nchini....huo uwanja faida yake nn