Unachekesha aisee...Mwanza iliyozungukwa na Ziwa bado kuna shida ya maji 😀😀.Kati ya maji ya Dodoma na Arusha yapi yenye chumvi....umewahi kumwona mtu yeyote wa Dom ana meno au fizi za rangi kama wale wa Arusha😀😀Dodoma maji ni shida ..na Maji unayopata yamejaa chumvi ..maji ya dodoma hayafai kufulia nguo Wala kunywa ..labda kumwagilia mchicha ....hovyo kabisa