Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma maji ni shida ..na Maji unayopata yamejaa chumvi ..maji ya dodoma hayafai kufulia nguo Wala kunywa ..labda kumwagilia mchicha ....hovyo kabisa
Unachekesha aisee...Mwanza iliyozungukwa na Ziwa bado kuna shida ya maji 😀😀.Kati ya maji ya Dodoma na Arusha yapi yenye chumvi....umewahi kumwona mtu yeyote wa Dom ana meno au fizi za rangi kama wale wa Arusha😀😀
 
naomba Five Star hotel za Dodoma... nipatie Ghorofa kama ile ya Ngorongoro tower na PAPU kwa upande wa Dodoma ni zipi...?! ukumbi wa mikutano kama ule wa AICC upande wa Dodoma... makusanyo ya TRA, upande wa GDP, Makazi mazuri ya Arusha...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Five star hotel hiyo cheki
 

Attachments

  • 20230721_120945.jpg
    20230721_120945.jpg
    604.8 KB · Views: 11
  • 20230721_120751.jpg
    20230721_120751.jpg
    438.1 KB · Views: 9
Hii ni white elephant project Dom hakuna potential yoyte au uhitaji wa kujengewa Five star hotel
Unachekesha sana aisee private investor gani anaweza kuwekeza kwenye white elephant project...😆😆
Kwa kukusaidia tu Best Western Hotel ni moja kati ya top brands kwenye sekta ya Hoteli na utalii duniani 👇👇

 
Unachekesha sana aisee private investor gani anaweza kuwekeza kwenye white elephant project...[emoji38][emoji38]
Kwa kukusaidia tu Best Western Hotel ni moja kati ya top brands kwenye sekta ya Hoteli na utalii duniani [emoji116][emoji116]

Arusha na utalii wote tu Bado mahotel hayajai ije kuwa Dodoma?
 
Huyu mama anahangaika sana ....badala ashughulikie uhaba wa madawati nchini....huo uwanja faida yake nn
Toa upumbavu wako hapa, Madawati yalimshinda Mwendazake sio Samia.
Wivu,chuki na maumivu ndio vinakutesa 😁😁

Maelfu ya shule Mpya na madarasa yanayojengwa yote Yako full equiped
 
Back
Top Bottom