Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Toa upumbavu wako hapa, Madawati yalimshinda Mwendazake sio Samia.
Wivu,chuki na maumivu ndio vinakutesa [emoji16][emoji16]

Maelfu ya shule Mpya na madarasa yanayojengwa yote Yako full equiped
Kivuli Cha mwendazake kinawatesa chawa ..na ndio mnagaragazwa kwenye tribunal case huko viena [emoji16][emoji16]..
 
Kila jengo unaloweka ni la wizara au taasisi hivi huko hamna miradi ya watu binafsi?
Muonekano wa sasa wa jengo la kitega uchumi Anglican Cathedral
 

Attachments

  • 20230702_112405.jpg
    635.1 KB · Views: 6
Wakati mkiendelea kushangaa mapango ya ofisi za serikali...huku tunazidi kusimamisha vichuguu[emoji116][emoji116]
NB: not government funded
 
Kwani majengo yote marefu hapo Arusha ni Mali ya nani kama sio Serikali?
Tofautisha parastal investment building na government buildings... majengo ya uwekezaji ya mifuko ya jamii sio ya serikali ni ya wanachama wa mifumo.. PERIOD!!.. dodoma wana vijengo viwili tu vya mifuko ya hifadhi... mengine ni ya wizara na taasisi za serikali [emoji16][emoji16]
 
Ujinga mwingine ni zaidi ya mzigo
 
Hivi kwanza mi najiuliza Mikoa kama Mwanza ,dar na Arusha unakuta tajri anawekeza anajenga mall,ghorofa n.k ,hivi huko Dom hakuna matajiri au watu binafsi? Kwa kifupi ni hapana ,Dom uwezi ukaweka uwekezaji wowote ukaleta tija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…