Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Kivuli Cha mwendazake kinawatesa chawa ..na ndio mnagaragazwa kwenye tribunal case huko viena [emoji16][emoji16]..Toa upumbavu wako hapa, Madawati yalimshinda Mwendazake sio Samia.
Wivu,chuki na maumivu ndio vinakutesa [emoji16][emoji16]
Maelfu ya shule Mpya na madarasa yanayojengwa yote Yako full equiped