Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,200
- 5,879
Kijiji jangwani [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Najua hujawahi kufika Dom City ngoja nikurahisishie Area D na Udom [emoji116][emoji116]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijiji jangwani [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Najua hujawahi kufika Dom City ngoja nikurahisishie Area D na Udom [emoji116][emoji116]
Wivu 😁😁😁 ,leta picha Kali kama.hizo kutoka huko kwenye ma slum yenuKijiji jangwani [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Huu mjengo wa Serikali leta project za watu binafsi, Yan Dom ni kama Abuja Nigeria serikali inapapendelea ila hapapendelekiDodoma sio Tourist Camp site za kufugia nyani na ngedere kama Arusha..
Arusha sema Shikamoo Dodoma [emoji91][emoji91]
Najua hujawahi kufika Dom City ngoja nikurahisishie Area D na Udom 👇👇
Kwani Dom hakuna Mall? Mbona ziko kama 3 nazozifahamu?Dodo
😆😆pa hovyo kwa vigezo gani ebu tuambie kama ni🤣 🤣 🤣 🤣 🤣, ndio jiji nzima lina wawekezaji hao tu?, Dodoma is overrated sana lakini bado pa hovyo,,
Vyote hivyo ulivyovitaja Arusha vipo, tatizo la watu wa ushamba unawasumbua majengo ya serikali ndio yanawafanya msemo Dodoma now ipo ahaed ya Arusha😆😆pa hovyo kwa vigezo gani ebu tuambie kama ni
-ubora wa mipango miji
-ubora wa miundombinu
-huduma za kijamii
-uwepo wa ofisi,taasisi,wizara nyingi
Ukiongelea mwanza metropolitan (nyamagana +ilemela) ni kubwa sana kuliko arusha na dodomaKwanza sahihisho, jiji la Dodoma ni la pili kwa idadi ya watu ikifuatiwa na Arusha. Mwanza ni jiji na nne kwa idadi ya watu, karejee sensa ya 2022. Usichanganye jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela hayo ni maeneo mawili tofauti ya maeneo ya kiutawala. Hata Mkoa wa Dar kuna jiji na kuna manispaa kama nne. Mislazimishe kajiji lenu hilo la Mwanza ukweli ni kuwa ni dogo kuliko jiji la Arusha.
Malls zipo Dsm, Arusha na Mwanza tu, hapo jangwani ni vijibanda vya malls, na hakuna msandawe au mgogo wa kwenda kufanya manunuzi kwenye Malls, ndio maana projects nyingi za hapo jangwani zitakua white elephant, mojawapo soko la dungai ni indicator tosha Dom hapafaiKwani Dom hakuna Mall? Mbona ziko kama 3 nazozifahamu?
😆😆Unachekesha Arusha haifiki hata nusu kwa Dom kwenye kigezo cha mipango miji .Dom City ndio Jiji pekee East Africa lililopangiliwa na kupimwa mipango miji kwa zaidi ya asilimia 95.Ubora wa mipango miji na miundombinu ya Dom hakuna Jiji lolote Tanzania linanusa puaYo
Vyote hivyo ulivyovitaja Arusha vipo, tatizo la watu wa ushamba unawasumbua majengo ya serikali ndio yanawafanya msemo Dodoma now ipo ahaed ya Arusha
KILIMO nimekupa facts namba hazidanganyi naomba unijibu facts kwa facts
1.Dodoma inaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Tende,Mtama,Alizeti,Mbaazi,Uwele,Rosella
2.Soko kuu la kimataifa la mahindi na nafaka linalohudumia East and Central Africa lipo moja tu Kibaigwa
2.Vihenge/Maghala makubwa ya kuhifadhi mahindi+nafaka yapo Dodoma kwa ukubwa baada ya Songea yanafuata ya Dodoma.Maghala ya NFRA pamoja na yale mengine yanayomilikiwa na WFP na FAO
MADINI
Umetaja Mwadui,Kahama ,Geita,Biharamulo na Mara ambazo sio sehemu ya Mwanza.Ni kweli Kanda ya Ziwa kuna madini lakini hata Dodoma Dhahabu ipo,Ruby ipo Mpwapwa hadi Uranium imegunduliwa huko Kondoa .
VIWANDA
Umesahau Kiwanda cha Nyama(vipo viwili cha Kizota na kile cha Wachina),Kiwanda cha vinywaji baridi na soda DIPC-Ntyuka,Ukianzia Kizota hadi barabara ya kwenda Zuzu eneo lote limejaa viwanda
Ndio maana yakeKwa hyo mtu anayekaa masaki ,osyterbay ,sinza ,hayupo jiji la dare es salaam maana hyo ni manispaa ya kinondoni....???
Toa umbulukenge wako hapa,malls hazi target Wenyeji Bali Watumishi na watu wengine wenye kipato Cha kati..Malls zipo Dsm, Arusha na Mwanza tu, hapo jangwani ni vijibanda vya malls, na hakuna msandawe au mgogo wa kwenda kufanya manunuzi kwenye Malls, ndio maana projects nyingi za hapo jangwani zitakua white elephant, mojawapo soko la dungai ni indicator tosha Dom hapafai
Dom imepiga chini Vijiji vyenu Kwa uwekezaji binafsi🤣 🤣 🤣 🤣 🤣, ndio jiji nzima lina wawekezaji hao tu?, Dodoma is overrated sana lakini bado pa hovyo,,
Dom imepiga chini Vijiji vyenu Kwa uwekezaji binafsi
Mikoa inayoongMiradi ya uwekezaji Tanzania
Dar
Pwani
Dom
Mengine ni kujifariji 😁😁View attachment 2701548
Hivi Shoppers nayo ni mall au kasupermarket?! Yaaani kumbe Dom Bado hamna exposure kutofautisha kati ya mall na supermarket?! Sasa Shoppers mbona hata Arusha ipo na ni kanachukuliwa kama ka supermarket-Capital City Mall
-Shoppers Plaza
-Mtendeni Mall
-Anglican Church Mall(soon inaanza)
Hizi project unazionesha au miradi nioneshe ambayo niya private sector,kwa kifupi Dodoma na Dar project nyingi niza serikali hakuna ya private sectorDom imepiga chini Vijiji vyenu Kwa uwekezaji binafsi
Mikoa inayoongMiradi ya uwekezaji Tanzania
Dar
Pwani
Dom
Mengine ni kujifariji [emoji16][emoji16]View attachment 2701548