Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

🤣🤣🤣Jangwani alafu kuna miti
Jifunzeni ku.post vizuri picha
155eab369b7510478eeaab21508d5144.png
tapatalk_1345545753_512x374.jpeg
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣, ndio jiji nzima lina wawekezaji hao tu?, Dodoma is overrated sana lakini bado pa hovyo,,
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣, ndio jiji nzima lina wawekezaji hao tu?, Dodoma is overrated sana lakini bado pa hovyo,,
😆😆pa hovyo kwa vigezo gani ebu tuambie kama ni
-ubora wa mipango miji
-ubora wa miundombinu
-huduma za kijamii
-uwepo wa ofisi,taasisi,wizara nyingi
 
Yo
😆😆pa hovyo kwa vigezo gani ebu tuambie kama ni
-ubora wa mipango miji
-ubora wa miundombinu
-huduma za kijamii
-uwepo wa ofisi,taasisi,wizara nyingi
Vyote hivyo ulivyovitaja Arusha vipo, tatizo la watu wa ushamba unawasumbua majengo ya serikali ndio yanawafanya msemo Dodoma now ipo ahaed ya Arusha
 
Kwanza sahihisho, jiji la Dodoma ni la pili kwa idadi ya watu ikifuatiwa na Arusha. Mwanza ni jiji na nne kwa idadi ya watu, karejee sensa ya 2022. Usichanganye jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela hayo ni maeneo mawili tofauti ya maeneo ya kiutawala. Hata Mkoa wa Dar kuna jiji na kuna manispaa kama nne. Mislazimishe kajiji lenu hilo la Mwanza ukweli ni kuwa ni dogo kuliko jiji la Arusha.
Ukiongelea mwanza metropolitan (nyamagana +ilemela) ni kubwa sana kuliko arusha na dodoma
 
-Capital City Mall
-Shoppers Plaza
-Mtendeni Mall
-Anglican Church Mall(soon inaanza)
 
Kwani Dom hakuna Mall? Mbona ziko kama 3 nazozifahamu?
Malls zipo Dsm, Arusha na Mwanza tu, hapo jangwani ni vijibanda vya malls, na hakuna msandawe au mgogo wa kwenda kufanya manunuzi kwenye Malls, ndio maana projects nyingi za hapo jangwani zitakua white elephant, mojawapo soko la dungai ni indicator tosha Dom hapafai
 
Yo

Vyote hivyo ulivyovitaja Arusha vipo, tatizo la watu wa ushamba unawasumbua majengo ya serikali ndio yanawafanya msemo Dodoma now ipo ahaed ya Arusha
😆😆Unachekesha Arusha haifiki hata nusu kwa Dom kwenye kigezo cha mipango miji .Dom City ndio Jiji pekee East Africa lililopangiliwa na kupimwa mipango miji kwa zaidi ya asilimia 95.Ubora wa mipango miji na miundombinu ya Dom hakuna Jiji lolote Tanzania linanusa pua
 
KILIMO nimekupa facts namba hazidanganyi naomba unijibu facts kwa facts
1.Dodoma inaongoza Tanzania nzima kwa kilimo cha Zabibu,Tende,Mtama,Alizeti,Mbaazi,Uwele,Rosella
2.Soko kuu la kimataifa la mahindi na nafaka linalohudumia East and Central Africa lipo moja tu Kibaigwa
2.Vihenge/Maghala makubwa ya kuhifadhi mahindi+nafaka yapo Dodoma kwa ukubwa baada ya Songea yanafuata ya Dodoma.Maghala ya NFRA pamoja na yale mengine yanayomilikiwa na WFP na FAO

MADINI
Umetaja Mwadui,Kahama ,Geita,Biharamulo na Mara ambazo sio sehemu ya Mwanza.Ni kweli Kanda ya Ziwa kuna madini lakini hata Dodoma Dhahabu ipo,Ruby ipo Mpwapwa hadi Uranium imegunduliwa huko Kondoa .

VIWANDA
Umesahau Kiwanda cha Nyama(vipo viwili cha Kizota na kile cha Wachina),Kiwanda cha vinywaji baridi na soda DIPC-Ntyuka,Ukianzia Kizota hadi barabara ya kwenda Zuzu eneo lote limejaa viwanda
Kwa hyo mtu anayekaa masaki ,osyterbay ,sinza ,hayupo jiji la dare es salaam maana hyo ni manispaa ya kinondoni....???
Ndio maana yake
 
Malls zipo Dsm, Arusha na Mwanza tu, hapo jangwani ni vijibanda vya malls, na hakuna msandawe au mgogo wa kwenda kufanya manunuzi kwenye Malls, ndio maana projects nyingi za hapo jangwani zitakua white elephant, mojawapo soko la dungai ni indicator tosha Dom hapafai
Toa umbulukenge wako hapa,malls hazi target Wenyeji Bali Watumishi na watu wengine wenye kipato Cha kati..

Dom Ina malls 3
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣, ndio jiji nzima lina wawekezaji hao tu?, Dodoma is overrated sana lakini bado pa hovyo,,
Dom imepiga chini Vijiji vyenu Kwa uwekezaji binafsi

Mikoa inayoongMiradi ya uwekezaji Tanzania
Dar
Pwani
Dom

Mengine ni kujifariji 😁😁
Screenshot_20230727-133812.jpg
 
-Capital City Mall
-Shoppers Plaza
-Mtendeni Mall
-Anglican Church Mall(soon inaanza)
Hivi Shoppers nayo ni mall au kasupermarket?! Yaaani kumbe Dom Bado hamna exposure kutofautisha kati ya mall na supermarket?! Sasa Shoppers mbona hata Arusha ipo na ni kanachukuliwa kama ka supermarket
 
Back
Top Bottom