Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣, ndio jiji nzima lina wawekezaji hao tu?, Dodoma is overrated sana lakini bado pa hovyo,,
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣, ndio jiji nzima lina wawekezaji hao tu?, Dodoma is overrated sana lakini bado pa hovyo,,
😆😆pa hovyo kwa vigezo gani ebu tuambie kama ni
-ubora wa mipango miji
-ubora wa miundombinu
-huduma za kijamii
-uwepo wa ofisi,taasisi,wizara nyingi
 
Yo
😆😆pa hovyo kwa vigezo gani ebu tuambie kama ni
-ubora wa mipango miji
-ubora wa miundombinu
-huduma za kijamii
-uwepo wa ofisi,taasisi,wizara nyingi
Vyote hivyo ulivyovitaja Arusha vipo, tatizo la watu wa ushamba unawasumbua majengo ya serikali ndio yanawafanya msemo Dodoma now ipo ahaed ya Arusha
 
Ukiongelea mwanza metropolitan (nyamagana +ilemela) ni kubwa sana kuliko arusha na dodoma
 
-Capital City Mall
-Shoppers Plaza
-Mtendeni Mall
-Anglican Church Mall(soon inaanza)
 
Kwani Dom hakuna Mall? Mbona ziko kama 3 nazozifahamu?
Malls zipo Dsm, Arusha na Mwanza tu, hapo jangwani ni vijibanda vya malls, na hakuna msandawe au mgogo wa kwenda kufanya manunuzi kwenye Malls, ndio maana projects nyingi za hapo jangwani zitakua white elephant, mojawapo soko la dungai ni indicator tosha Dom hapafai
 
Yo

Vyote hivyo ulivyovitaja Arusha vipo, tatizo la watu wa ushamba unawasumbua majengo ya serikali ndio yanawafanya msemo Dodoma now ipo ahaed ya Arusha
😆😆Unachekesha Arusha haifiki hata nusu kwa Dom kwenye kigezo cha mipango miji .Dom City ndio Jiji pekee East Africa lililopangiliwa na kupimwa mipango miji kwa zaidi ya asilimia 95.Ubora wa mipango miji na miundombinu ya Dom hakuna Jiji lolote Tanzania linanusa pua
 
Kwa hyo mtu anayekaa masaki ,osyterbay ,sinza ,hayupo jiji la dare es salaam maana hyo ni manispaa ya kinondoni....???
Ndio maana yake
 
Toa umbulukenge wako hapa,malls hazi target Wenyeji Bali Watumishi na watu wengine wenye kipato Cha kati..

Dom Ina malls 3
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣, ndio jiji nzima lina wawekezaji hao tu?, Dodoma is overrated sana lakini bado pa hovyo,,
Dom imepiga chini Vijiji vyenu Kwa uwekezaji binafsi

Mikoa inayoongMiradi ya uwekezaji Tanzania
Dar
Pwani
Dom

Mengine ni kujifariji 😁😁
 
-Capital City Mall
-Shoppers Plaza
-Mtendeni Mall
-Anglican Church Mall(soon inaanza)
Hivi Shoppers nayo ni mall au kasupermarket?! Yaaani kumbe Dom Bado hamna exposure kutofautisha kati ya mall na supermarket?! Sasa Shoppers mbona hata Arusha ipo na ni kanachukuliwa kama ka supermarket
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…