Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

Dodoma ndo iwe na mchanganyiko wa makabila mengi kuliko Mwanza, unaota ndoto za mchana dogo
1.Makao makuu ya Serikali(wizara zote,ofisi zote taasisi zote za serikali jumlisha😀😀)
2.Makao makuu ya chama
3.Makao makuu ya Bunge
4.Makao makuu ya mhimili wa Mahakama
5.Chuo kikuu cha pili kwa ukubwa Afrika(uwezo wa kuchukua over 40k)

Vp tukuongezee na zingine au zinatosha..🤣🤣🤣
 

Jamaa wewe utakuwa unaumwa sio bure
 
Dodoma ndo iwe na mchanganyiko wa makabila mengi kuliko Mwanza, unaota ndoto za mchana dogo
Jamaa boya balaa au huwa akisikia mwanza ni wasukuma anajua jiji zima ni wasukuma kama ilivyo Dsm mwanza kuna kila aina ya makabila hapo wamejazana, pia kuna mwanza mainlaind na mwanza Island, mwanza island kuna kila aina ya watu wamejazana huko acha kukalili, eti Dsm ikiwa ina population hapo sawa lakn mwanza ikiwa na population eti wasukuma wanazaliana, mitazamo ya hawa jamaa ni finyu na wivu tu,kuona mwanza ni Business city inayovutia watu kwenda kusaka maisha
 
.Miji mikubwa yote ina mchanganyiko wa makabila yote ya Tanzania lakini haiondoi ukweli kwamba kwenye hiyo miji kuna makabila ambayo ni ya asili ya eneo husika.Wasukuma ni dominant kwa hapo Mwanza ndiomana Kisukuma kinazungumzwa kilakona hadi ukienda sokoni au kwa mama ntilie unasalimiwa kisukuma bila kujali kwamba wengine ni wageni😀😀
 
Mruke. mchutame, mjambe na mnye kabisa dodoma haiwezi kuizidi arusha. Wenge la upepo wa kisiasa kuipasha Dodoma imewaibilia miluzi ya ujinga.
 
Mruke. mchutame, mjambe na mnye kabisa dodoma haiwezi kuizidi arusha. Wenge la upepo wa kisiasa kuipasha Dodoma imewaibilia miluzi ya ujinga.
Eti Upepo wa kisiasa...wakati mchakato ni endelevu😀😀.Mwanza na Arusha mshakalishwa chini tayari na Dom City simply kubali matokeo. Juzi nimekutana na jamaangu mmoja anafanya kazi NIMR kaniambia wanatakiwa kuhamia Dodoma very soon.Yaani maofisi na taasisi zote zitakapohamia Dodoma itakua ni balaa mara mbili ya sasa💥💥
 
Tuendelee utanyosha mikono tu na bado. Mnapiga kelele wakati mna mji wa kugoogle.
 

Attachments

  • 8d898d0db4e27dd8615b5e0824ca5a8c.png
    93.7 KB · Views: 10
  • 4f6eb1676c90914557361206bd5f49c9.png
    38.1 KB · Views: 7
  • 155eab369b7510478eeaab21508d5144.png
    38.1 KB · Views: 9
Unachekesha sana aisee....maghorofa kwa Jiji la Dodoma hayana idadi ukiachana na yale ya Magufuli City kuna haya mengine nyuma ya Jakaya Kikwete Convention Center yanaporomoshwa kilasiku😀😀
Unacheki surface area ya majengo au unajiongelesha tu
 

Attachments

  • 11c77d6027d098cdd7e8dc4b40010d69.png
    191.7 KB · Views: 7
  • 21e2ceadbf9feb03113c02f532e65a91.png
    183.8 KB · Views: 9
Wewe ni kenge sana, huko ng'ong'ona na makuru kuna mijitu haijui hata kiswahili, ukienda kwa mamantilie utasikia mihanyenyii, sijui mara bukweni 🤣
 
Unachekesha sana aisee....maghorofa kwa Jiji la Dodoma hayana idadi ukiachana na yale ya Magufuli City kuna haya mengine nyuma ya Jakaya Kikwete Convention Center yanaporomoshwa kilasiku[emoji3][emoji3]
mkuu hzi picha unarudia Sana weka na nyingne Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…